Umri sahihi wa kuoa kwa wanaume na kuolewa kwa wanawake ni upi?

Tembocard, Master Card, usafiri, nyumba na uwe una elimu ya chuo kikuu

Mbona wengine wanavo lakn hawajaoa?? Na ivo vitu labda mtoto wa fisadi tz hii MTU anamaliza chuo 24 age apambane na ajira tuseme 26 age.. mshahara wa kwanza mdogo apate gari LA mkopo 8 milion alipe hapo 28 aanze kujenga na vitu vingine 35 undo aoe hii ni wastage of time..
 
kwa mwanaume just any age maadam asivuke 35 ila kwa mwanamke asizid 28 coz after that hata kama ni mzuri vp unaanza poteza ile natural spark ya usichana unabaki kua mzuri kawaida tu na kama ndo ulikuaga wa kawaida for sure utaonekana mbaya flan!!!
 
Hiv ni umuri gan ambao ni best kwa mwanaume kuoa na mwanamke kuolew na ni athali gani kwa wanao zidiana umri wanapo oana
 
27 inaweza kuwa na tbs mkuu

wewe ujana mwingi sana hapo inaonkeana unakwepa gharama za lodge sasa unahisi ukiweka papuchi ndani ndiyo itakukoma mkuu huwa unachoka acha ufike 30+ uoe utakua unaakili ya kutosha na umefanya maendeleo
 
Acha kunihisia bibaya dada angu miss chaga me mkiristo so nilitaka kujua2 mana maswala ya umri yanaleta shida kwa sana
 
uandishi usioeleweka ; umuri ndo nini?
hebu nenda kajifunze kuandika ndipo urudi hapa jf hapa sio fb
 
wewe ujana mwingi sana hapo inaonkeana unakwepa gharama za lodge sasa unahisi ukiweka papuchi ndani ndiyo itakukoma mkuu huwa unachoka acha ufike 30+ uoe utakua unaakili ya kutosha na umefanya maendeleo

labda anataka kuepuka dhahama ya kukosa chumba, ukizingatia wanaopangisha nyumba hawataki ma bachelor.
 
Hiv ni umuri gan ambao ni best kwa mwanaume kuoa na mwanamke kuolew na ni athali gani kwa wanao zidiana umri wanapo oana

Mwanaume Hana Hasara Mkuu Ila Mwanamke Akifikisha Tu Miaka 30 Mpaka 35 Hajaolewa Basi Hapo Ahesabu tu Maumivu.
 
Back
Top Bottom