Umri gani?

eyetyna

Senior Member
Jun 24, 2011
148
17
Hivi ni umri gan mwanaume anaweza kuwa serious kwenye mahusiano na akaweza kutulia na wewe msichana?Na msichana ukamuamin kuwa he is serious with you?
 
Me i think issue sio umri...... may be kuonesha yupo serious ni pale anapojitambulisha, kulipa mahari (kama ni muhimu) and then ikafuatiwa na kiapo......hapo ni utimilifu wa kuonesha kuwa someone is serious with you... nasisitiza kiapo kwani sometimes watu wameishia njiani katika stage mojawapo kwa sababu mbali mbbali ikiwemo lack of seriousness!!
 
Me i think issue sio umri...... may be kuonesha yupo serious ni pale anapojitambulisha, kulipa mahari (kama ni muhimu) and then ikafuatiwa na kiapo......hapo ni utimilifu wa kuonesha kuwa someone is serious with you... nasisitiza kiapo kwani sometimes watu wameishia njiani katika stage mojawapo kwa sababu mbali mbbali ikiwemo lack of seriousness!!

Ni kweli mkuu na inawezekana kweli akafanya kiapo lakin mwisho wa siku akashindwa kutekeleza au akafanya kwa kua anataka kukuonyesha kama yuko serious.........
lakin kuna umri ukifika no mata wat,vitendo tu vitakuonyesha huko serious na umri wako ni wa kawaida tu mi ndo kinaponichangay kuwa who is serious,?
anaoonyesha vitendo kwamba he is serious with u ,mwenye umri mkubwa wa kuoa,au anaetoa kiapo then hakuna utekelezaji au ili kukuridhisha?
 
uelewa wa mtu na umakini .. haijarishi umri na pia patner atakaekuwa nae
 
okey,so hata kama ana umri mdog,lakin ni muelewa na ni makini yuko sahihi kuoa?
lakin wat if akawa navyo hivi na bado anaonyesha matendo ambayo yanakufanya usimwamini kuwa ni adult na anania na wewe?
 
Kwangu mimi mwanamme akifikisha 30 ndio naona akili yake ina akili katika mahusiano.
 
Kuna watu wako below 25 but ni wanaume kwa maana zote

na kuna watu wako above 40....utasema ndo wamebalehe juzi lol
 
Kuwa au kutokuwa serious ni tabia ya mtu. Sitaongelea tabia inatoka wapi maana ni topic by itself.

Mwanaume aliyetulia anaweza kuwa serious hata akiwa na 20 years; kwani wanaume wa hivyo hawana tabia ya kudanganya wasichana; when they say I love you, they mean it.


Ila wale players hata akifika 50 hawezi kuwa serious iwe kaoa au single.

Mimi ni mmoja ya wale wasio amini kuwa umri ukienda watu wanatulia; eti 'mtoto akikua ataacha'
 
Kwa upande wangu umri hauwezi kuonesha userious wa mtu kwenye relation,hope utashi wa mtu ndio unamatter,utakuta mwingine ni zaidi ya 30s lkn wala hajajitambua na hata hajui lini na nani atamuoa anaruka ruka hovyo!na wengine wa 20s hata ukimckiliza mipango yake inaeleweka na anakua na relation iliyocmama!
 
Hapo hoja ya umri haishiki maji,,anaweza akawa kijana mdogo lakini yuko very firm kwenye mahusiano,na anaweza akawa mzee wa kutosha tu lakini bonge la tapeli wa mapenzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom