Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Dah! Umeshakuja? Ngoja nisepe.....

BTW ulishawahi kumuuliza Mr. wako alitahiriwa akiwa na umri gani? Vipi unai-judge vipi pafomensi yake kwenye matusi, inawezekana pafomensi yake ikawa na rilesheni na umri aliokatwa ngozi ya filimbi yake (nadhani hapa niko kwenye thread kabisa)

nimeacha kufanya matuc 6 yrs ago, cku hizi nafanya tendo la ndoa.......hajatahiriwa!
 
nimeacha kufanya matuc 6 yrs ago, cku hizi nafanya tendo la ndoa.......hajatahiriwa!
Hahahahaha! huyu ndo dada yangu bana!

Tendo la ndoa linafanyika mara moja tu, tena kanisani. Anyway turudi kwenye mada sasa, manake huchelewi kunichenjia wewe!!!
 
Hahahahaha! huyu ndo dada yangu bana!

Tendo la ndoa linafanyika mara moja tu, tena kanisani. Anyway turudi kwenye mada sasa, manake huchelewi kunichenjia wewe!!!

ndio mimi kakangu...cwezi kukuchenjia wewe wangu kabisa, mie na wewe utani muhimu....wewe umetahiriwa?
 
ndio mimi kakangu...cwezi kukuchenjia wewe wangu kabisa, mie na wewe utani muhimu....wewe umetahiriwa?
Hahahahahahahahahaha! Ngoja nicheke tena! hahahahahahahahaha!
Ngoja leo nikamuulize waifu. Manake tangu nizaliwe niliyemshuhudia akilikamata vuvuzel langu ni mama yangu, mai waifu na wasaidizi wake kadhaa. Sasa sijui madaktari walilikamata nikiwa mdogo sana au labda ntakuwa bado... LOL!
 
....wewe umetahiriwa?

Thwali rahisi sana...

Hahahahahahahahahaha! Ngoja nicheke tena! hahahahahahahahaha!
Ngoja leo nikamuulize waifu. Manake tangu nizaliwe niliyemshuhudia akilikamata vuvuzel langu ni mama yangu, mai waifu na wasaidizi wake kadhaa. Sasa sijui madaktari walilikamata nikiwa mdogo sana au labda ntakuwa bado... LOL!

Square Root (maelezo meeeeeeeeeeengi, stimu imeshuka eeh?)
 
Hahahahahahahahahaha! Ngoja nicheke tena! hahahahahahahahaha!
Ngoja leo nikamuulize waifu. Manake tangu nizaliwe niliyemshuhudia akilikamata vuvuzel langu ni mama yangu, mai waifu na wasaidizi wake kadhaa. Sasa sijui madaktari walilikamata nikiwa mdogo sana au labda ntakuwa bado... LOL!

nasubiria jibu....na kama bado umuulize ana/mna mpango gani na hilo dubwasha, wangu/mie karidhika nalo...lol
 
nasubiria jibu....na kama bado umuulize ana/mna mpango gani na hilo dubwasha, wangu/mie karidhika nalo...lol
Hahahahaha! Najaribu kutafakari, kama lilikuwa halitakiwi, mbona Mungu kaliweka? (Askofu hebu weka uzoefu wako wa ki-infidelity hapo)
 
nasubiria jibu....na kama bado umuulize ana/mna mpango gani na hilo dubwasha, wangu/mie karidhika nalo...lol
Hahahaha! Na wewe ulivyokuwa msabiki wa mpira, ushajipatia vuvuzela lako kirahiiiiiisi lol
 
.........kutahiri inatokana na maneno mawili ya kigiriki 'circum'=around na 'caedere'=to cut. ni suala la kimila na kidini pia. waislam, wakristo, wayahudi nafikiri na dini zingine zina msisitizo fulani kuhusu kutahiri kwa wanaume. WHO inasema yapata 30% ya wanaume wote duniani wametahiriwa of whom 68% ni waislam. umri wowote unafaa kutahiriwa lakini best performed during the neonatal period ( muda mfupi baada ya kuzaliwa between one and 6 months of age).
kuhusu kuathiri nguvu za kiume...ni somehow still debatable=some authors support and some dont. mimi binafsi naweza kuhisi kwamba ile nguvu ya hisia ya kichwa kilichovuliwa gamba ni pungufu ya kilicho kwenye cover yake in terms receptors strength not psychic.
WHO (2007), UNAIDS (2007) na CDC (2008) wanasema kwamba tohara inapunguza kwa kiasi kikubwa risk ya kupata HIV kwa mwanaume akijamiiana kwa njia ya kawaida (penile-vaginal sex), pia maambukizi mengine kama vile Human Papilloma virus.
 
Umri wa miaka 12 ndo sahihi, maana mishipa mingi ya fahamu inaonekana inakopitia, ganzi inawekwa kulingana na umrikulko inavyowekwa kulingana bna uzito, sio rahisi kukata uzi ulio chini ya uume unaosaidia kuvuta mabao mengi nk.

Ukitaka kuakikisha tembelea mikoa ya kanda ya ziwa, wanatahili wakiwa wakubwa ndio maana hawana matatizo ya nguvu za kiume tofauti na pwani, utakuta jamaa ana umri wa miaka 25 eti hana nguvu za kiume anatumia vidonge, !!!!!!! nk
 
Hakuna umri, ni muda wowote ila akiwa bado mdogo sana - kwenye uchanga - huwa hashonwi na upona mapema sana lakini muda mzuri ni mwaka mpaka miwili atashonwa na atapona mapema; akiwa mkubwa, sema, primary one na kuendelea atachelewa kupona, atakuwa anaugulia maumivu makali mara shaft inapoinuka na inaweza hata kukata nyuzi na kusababisha bleeding. Kwani baba yake alikatwa ana umri gani? Daktari wa watoto anasemaje?
 
paulss

Mtahiri Mtoto siku ya 40 tangu Mtoto amezaliwa na kuendelea, kadri utakavyo Mtahiri huyo Mtoto akiwa mdogo kiumri itakuwa vizuri zaidi kuliko kungoja akue ndio umtahiri itakuwa kile kidonda chake hakiponi kwa haraka na atakuwa kila wakati anauchezea Mdudu wake.

Lakini ukimtahiri akiwa mchanga wa siku 40 tangu Azaliwe itakuwa vizuri zaidi na kitapona kwa haraka kidonda chake.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom