Askofu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2009
- 1,664
- 86
Mhashamu baba/mama askofu, ni umri gani sahihi wa kumtahiri mtoto wa kike?
Mtoto wa kike hatahiriwi...
Mhashamu baba/mama askofu, ni umri gani sahihi wa kumtahiri mtoto wa kike?
Jaribu jaribu, unaweza kupewa cheo cha uchungaji utakayespeshalaizi kwenye ukusanyaji sadaka (huyu askofu wetu ni kama mbayuwayu)mimi simoooo. Askofu kazi kwako
Ni kweli mhashamu, huwa anakeketwa. Sasa hebu mjibu huyu muumini hapa chini basi.....Mtoto wa kike hatahiriwi...
Na kuna habari kuwa eti mtoto akitahiriwa wazazi mnatakiwa msikutane kimwili hadi mtoto apone, jee hii nayo ina ukweli wowote?
Mkuu hiyo nayo iasemwa sana eti ukila tunda la katikati wakati mtoto katahiriwa basi haponi haraka na atapata matatizoNa kuna habari kuwa eti mtoto akitahiriwa wazazi mnatakiwa msikutane kimwili hadi mtoto apone, jee hii nayo ina ukweli wowote?
Jaribu jaribu, unaweza kupewa cheo cha uchungaji utakayespeshalaizi kwenye ukusanyaji sadaka (huyu askofu wetu ni kama mbayuwayu)
Ni kweli mhashamu, huwa anakeketwa. Sasa hebu mjibu huyu muumini hapa chini basi.....
X-pin, u need serious prayers... nitafunga kwa ajili yako (I will skipu divai for few days...lol)
Engineer2, kuhusiana na hilo sina uhakika... labda wenye imani za kidunia zaidi kama Chrispin anaweza kukusaidia
vipi maandiko hayasemi lolote juu ya hii?
Hahahahaha! Mhandisi hebu stuka japo kiduchu. Huyu askofu unamjua vema? Hebu msome hapo chini hasa hapo kwenye red.asante mhashamu baba askofu, vipi maandiko hayasemi lolote juu ya hii?
Kwa sisi watu wa mataifa, hakuna andiko lolote linalokataza mtu kupakuana na mwenzie kwa sababu tu eti mtoto katahiriwa. Yaani mtoto kalala pembeni anaugulia maumivu, wazazi wako bize kumtafutia mdogo wake..............Ruksaaaa!X-pin, u need serious prayers... nitafunga kwa ajili yako (I will skipu divai for few days...lol)
Engineer2, kuhusiana na hilo sina uhakika... labda wenye imani za kidunia zaidi kama Chrispin anaweza kukusaidia
Labda kwenye agano la hapo baadae...
Lakini kwa mtazamo wangu hii ni kwa ajili ya usafi tu na kuzuia kumuambuzika mtoto magonjwa ya ajabu ajabu...
Hata kama wakitumia kondomu?
Mhashamu baba/mama askofu, ni umri gani sahihi wa kumtahiri mtoto wa kike?
Hivi bado kuelewa? Hebu msome mtumishi wa Mungu hapa chini. Halafu mfanyie maombi yale spesho...Hayo madude ndio tatizo kubwa kwenye ndoa zenu hizo na halina suluhisho... (Halafu wewe.... bado unaning'ing'inia au?)
Xpin ametoka kumalizia hiyo glass kuweni makini na huyu kiumbe.
Hivi bado kuelewa? Hebu msome mtumishi wa Mungu hapa chini. Halafu mfanyie maombi yale spesho...
Labda kwenye agano la hapo baadae...
Lakini kwa mtazamo wangu hii ni kwa ajili ya usafi tu na kuzuia kumuambuzika mtoto magonjwa ya ajabu ajabu...
Usisahau kunistua kikifika kipindi cha utoaji sadakaMaombi yanaanza rasmi, naona hali yako inazidi kuwa mbaya...
Dah! Umeshakuja? Ngoja nisepe.....hapo juu hebu rudini kwenye thread na nyie, wane vileee.