misorgenes
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 206
- 50
Jamani naomba uliza ni umri gani, au katika mazingira gani baba anatakiwa kuacha jukumu la kuhudumia familia yake?
watoto wanapokuwa wakubwa wa kujitegemea
na mama yao ulishaa achana nae siku nyingii.
na kama wakubwa ila bado wanasoma? Mana mi toka nakua mzee wangu hajishughurishi na maswala ya home kabisa.
Usiache hadi ufe.
huyo mzee wako ana matatizo huyo...
kuna wakati nkimwona napatwa na hasira ila basi tu. Toka nipo class 3 na mwona mama akiangaika kutusomesha mi na kaka angu, mpaka sasa nmemaliza chuo na kaka angu yupo mwaka wa pili. Ye siku zote kisingizio hana hela.
na kama wakubwa ila bado wanasoma? Mana mi toka nakua mzee wangu hajishughurishi na maswala ya home kabisa.
Jamani naomba uliza ni umri gani, au katika mazingira gani baba anatakiwa kuacha jukumu la kuhudumia familia yake?
Jamani naomba uliza ni umri gani, au katika mazingira gani baba anatakiwa kuacha jukumu la kuhudumia familia yake?
Mtoto kwa baba hakui hata kama akiwa mzee..Msaada kwa mtoto sio hela tu.. bali hata mawazo na ushauri. na huwezi kujua anataka ushauri gani uwe karibu naye na kujua anaishi vipi.
Mazingira ambayo mwanaume unaweza kukwepa majukumu yako ni Ukifa .. au kupata matatizo ambayo yatakufanya wewe mwenyewe kuwa tegemezi..