Umri ambao mwanaume anaacha kuhudumia familia yake

misorgenes

JF-Expert Member
Oct 7, 2010
206
50
Jamani naomba uliza ni umri gani, au katika mazingira gani baba anatakiwa kuacha jukumu la kuhudumia familia yake?
 
watoto wanapokuwa wakubwa wa kujitegemea
na mama yao ulishaa achana nae siku nyingii.
 
na kama wakubwa ila bado wanasoma? Mana mi toka nakua mzee wangu hajishughurishi na maswala ya home kabisa.
 
huyo mzee wako ana matatizo huyo...

kuna wakati nkimwona napatwa na hasira ila basi tu. Toka nipo class 3 na mwona mama akiangaika kutusomesha mi na kaka angu, mpaka sasa nmemaliza chuo na kaka angu yupo mwaka wa pili. Ye siku zote kisingizio hana hela.
 
unakasirishwa na mgonjwa?
muonee huruma tu...
 
wababa wa hivyo wako wengi...si wako pekee ila mwisho wao huwa mbaya!
 
pole sana ila akikaa na wenzake katika vikao vya bia yeye ndo wa kwanza kujisifu "watoto wangu wote wapo vyuo vikuu hela yote nimemalizia huko"
 
wewe kubali halafu omba kazi ili wakupeleke mkoani ili na wewe uje kuingia club usiku..
 
na kama wakubwa ila bado wanasoma? Mana mi toka nakua mzee wangu hajishughurishi na maswala ya home kabisa.

Atakuwa mtu wa nzenji au Tabora huyo,kwa hiyo kazi kubwa anayofanya ni kumtwanga matheri band?
 
Kwakweli wapo wengi na ukimgundua yupo hivyo mlilie mungu ambadilishe kwani hakuna lisilowezekana kwake
 
Jamani naomba uliza ni umri gani, au katika mazingira gani baba anatakiwa kuacha jukumu la kuhudumia familia yake?

Mtoto kwa baba hakui hata kama akiwa mzee..Msaada kwa mtoto sio hela tu.. bali hata mawazo na ushauri. na huwezi kujua anataka ushauri gani uwe karibu naye na kujua anaishi vipi.

Mazingira ambayo mwanaume unaweza kukwepa majukumu yako ni Ukifa .. au kupata matatizo ambayo yatakufanya wewe mwenyewe kuwa tegemezi..
 
Nakubaliana na Wewe 100%
 
Back
Top Bottom