UmojaSwitch kuanziasha promosheni ya UMOJA ATM ZALI kuanzia mwezi August hadi Desemba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UmojaSwitch kuanziasha promosheni ya UMOJA ATM ZALI kuanzia mwezi August hadi Desemba

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by linas, Aug 31, 2012.

 1. l

  linas New Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtandao wa UmojaSwitch unaomilikiwa na mabenki 24 kwa sasa umeanzisha campaign kwa wateja wote watumiao kadi za Umoja ATM.Campaign hii itadumu kwa muda wa miezi 5 ambapo watapatikana washindi wengi kila mwezi watakaojinyakulia vitita vya pesa.Ili kujiaunga, fungua akaunti moja tu katika benki 24 na upewe ATM kadi yenye nembo ya Umoja,itakayokusaidia kupata fedha katika ATM yoyote iliyo na nembo ya UmojaSwitch/Umoja.Maswali zaidi http://www.facebook.com/umojaswitch.

  Tuambie kama una maoni au pendekezo lolote kuhusu huduma zetu za kifedha.
   
 2. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Taja hizo bank tafadhali!
   
 3. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Naomba kujua ni benk zipi (24) naweza toa pesa nikiwa na UMOJA SWITCH niliyoipatia TANZANIA POSTAL BANK.
   
 4. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  swadakta
   
Loading...