Umoja wa wenyeviti wa vitongoji wilaya Hai watangaza kutoshiriki sensa.

Kiba

JF-Expert Member
Mar 23, 2012
459
62
Umoja wa wenyeviti wa vitongoji wilayani Hai mkoani kilimanjaro umetangaza kutoshirikiana na makarani wa sensa kwa sababu hawajashirikishwa katika semina hivyo hawajui cha kwenda kuwaambia wananchi wao siku hiyo hivyo basi makarani waliofundishwa waende wenyewe wasiombe misaada kwao kabisa ya kuonyeshwa kaya hila wao wako tayari kwa moyo mkunjufu kuesabiwa.
Habari hii nimeisikiliza kupitia BOMA HAI FM RADIO (BH FM)
 
na sisi hatu hesabiwi mpaka waweke kipengele cha dini kwani wanapugukiwa na nini wakikiweka mbona tukienda hosp tunaulizwa dini kwanini kwenye sensa wasikiweke..
 
Chadema kwa mara nyingine wanataka kukwamisha sensa baada ya kukosakosa kuiingiza nchi kwenye vita na Malawi!
Source: JK
 
asiyejua kifo achungulie kaburi.....enyi wenye matamanio ya machafuko.....tuombeni nauli tuwachangie muende hata Somalia kwa miezi michache...hamu zenu zitakapowaishia mrejee TANZANIA yetu tulivu
 
asiyejua kifo achungulie kaburi.....enyi wenye matamanio ya machafuko.....tuombeni nauli tuwachangie muende hata Somalia kwa miezi michache...hamu zenu zitakapowaishia mrejee TANZANIA yetu tulivu
wacha woga ndg nchi yako tz somalia ya nini?
 
Chadema kwa mara nyingine wanataka kukwamisha sensa baada ya kukosakosa kuiingiza nchi kwenye vita na Malawi!
Source: JK

sikujua kama cdm wana uhusiano na wapinga sensa yaani waisilam wenye mrengo wa kushoto, leo ndio nimejua kuwa ni ulaghai mnatumia kuwa cdm ni chama cha kikristo , nilijua safari hii mtawasingizia cuf, andikeni sana lakini mungu anajua
 
Back
Top Bottom