Kibwengo
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 6,838
- 5,294
Hata harakati za ukombozi hazikufanyikia kwenye maghorofa.Hawa wameamua kuacha maghorofa yatumike na Ccm kwaajili ya kuingia mikataba mibovu ya kuiangamiza nchiPale HQ ya Chaumma kwenye gereji ya mzee Rungwe mtatosha kweli?
Ni Tanzania pekeee ambapo vyama vya upinzani havijui visimamie nini hasa,, na ndipo vinajiendesha kwa kutegemea matukio.Pale HQ ya Chaumma kwenye gereji ya mzee Rungwe mtatosha kweli?
Anaelezea hasara tuliyopata kwenye manunuzi ya koroshoVipi anaelezea ameuza korosho zake huko ntwara?
Lakini mmenyooka!!nipanic kwa ajili yako kichaa kichaa , mzee wa frastrations, mzee wa ziara za kustukiza huku ukiwa na vipaza sauti na wandishi.
kuna tetesi wana mpango wa kuunda alliance na CCM kuongeza nguvu 2020.Muungano wakina lipumba na cheyo hauna maana
Mtanyooka tu!Safi sana hakuna sababu ya kuliogopa lidikteta, ni kulisema tu mpaka lizidi kuaibika
Yeah ni hili hili genge lililoingia mkataba na mabeberu wakawauzia gesi ya Mtwara.Dovutwa nae Na kikofia chake chekundu yupo Kwenye hilo Genge la Mawakala wa Mabeberu!
Alcohol ndiyo Nambari Moja!Hii tabia ya kila Siku kutaka kuonekana kwenye kideo inaanza kuchosha. Hii inamhusu pia JPM. Waache na wengine wazungumze.