Umoja wa vyama 10 vya upinzani nchini Tanzania vimefungua kesi Mahakamani Kuu kupinga muswada wa sheria ya vyama vya siasa

Wanasiasa wengine kwa usanii ni wakuvuliwa kofia. Huyu mheshimiwa Zitto keshajiwekea hitimisho kuwa mahakama itaamua kuegemea upande wao.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
qRI8Gs7.gif
 
Lakini mmenyooka!!
kwenye jamii za kistarabu hakuna neno kunyooka! ukiona kiongozi aliyechaguliwa kiraia anatumia maneno kunyoosha yye au vichaa wenzie ujue ana nia ya kuongoza kidicteta. kama unaweza soma namna mzee karume alivyoongoza zanzibar na kilichomkuta hapo 1972.
maalun
 
Nimemsikia ndugu yangu Zitto Zuberi Kabwe leo akiipongeza mahakama kwa kuacha likizo na kuja kusiliza shauri walilolifungua kama vile ambavyo wengine wamekuwa wakiipongeza pale inapotoa hukumu vile wanavyokuwa wakihitaji mfano. Abdul Nondo, Tundu Lissu, Halima Mdee na Wengineo wengi.
Je mahakama ikifanya maamuzi kinyume na matarajio yake ataipongeza au atasema mahakama imemezwa na serikali?
Doublestandards in the game.
 
Kuna wabunge wengine wa Chama cha Mapinduzi ni wazuri, lakini kuna wabunge wengine wa CCM ni makasuku, sio kwamba utakua mbaya lakini utakua mbaya zaidi, kuna wabunge wengine no wapenda sifa - Zitto Kabwe Kiongozi wa ACT Wazalendo.
FB_IMG_1546505911251.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom