Umoja wa Ulaya wataka Serikali ya Umoja wa Kitaifa(SUK) Zanzibar

juzi mwigulu nchemba kafatwa na balozi wa uingereza ofisini kuhusu kuminywa kwa demokrasia.

The pressure is mounting up,tutajua tu nani kidume wa dunia


We unataka Balozi huyo afanye nini sasa, maana haoni cha kusema Kwa boss wake.

Amesahau matatizo ya nchi yake ndani ya umoja huo wa ulaya?
 
Hao Umoja wa Ulaya wamepoteza Mwelekeo. Kama wameshindwa kuidhibiti Uingereza watawezaje mambo y Tanzania?
Huwezi kuifananisha uingereza na Tanzania hata siku moja. Mtawala na mtawaliwa wapi na wapi?
 
Ccm haijawahi kupokonya Ushindi chama cha CUf Zanzibar ukweli kuwa CUF ilifanya hujuma ambazo hadi imefikia kujitangazia ushindi hali ya kuwa kipo chombo sahihi kilichoteuliwa kufanya kazi hiyo Majukumu ya Jecha ameyabeba yeye seifu lahau ni Mzandiki mzushi hana nia njema na wazanzibar that why anakwenda kwa waliberal ili asaidiwe azidiashe Ushoga Zanzibar kwa kuwa yeye ni muumimi wa kaumu hiyo hadi kufikia kucheza sunsumia maeneo ya Chukwani unafikiri hayajulikani Msijifanye wasafi katika mitandao badilikeni kaaeneni mtatuwe mgogoro wenu CCm haina muda wa kutaka kukiuwa chama chochote Tanzania na ndio maana wananchi waliowengi tulikataa mfumo wa vyama vingi lakini CCM ikalazimisha matokeo yake ndo haya chama kinaungama na waliberal kinaachiwa tu
Mkuu hadithi kama hivi kazipeleke vijiweni,unajua nini ya neno "Leberal",unazijua nini siasa za kileberali,
mimi nakuwa na wasiwasi sana na watu wanaoamini kila wanachoambiwa bila kufikiri,hao watu mmoja wao ni wewe..,fikiri kwanza,fanya utafiti halafu ndio uropokwe
 
Back
Top Bottom