#COVID19 Umoja wa Ulaya wataka Chanjo ya Novavax kuwa na onyo la ‘Side Effects’

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,019
1,606
Shirika la Madawa la Ulaya (EMA) linapendekeza chanjo ya Novavax ya #COVID-19 kubeba onyo la uwezekano wa mtumiaji kupata ugonjwa wa aina mbili za kuvimba kwa moyo ‘myocarditis’ na ‘#pericarditis’

Mnamo mwezi Juni, Wasimamizi wa Chakula na Dawa wa Marekani walibaini athari kali za mzio ‘allergy’ kama athari zinazoweza kusababishwa na chanjo hiyo

Aidha, Shirika hilo limesema limewaomba #Novavax kuwapa taarifa zaidi juu ya Hatari za Madhara ya Chanjo hiyo ambayo hadi sasa zimetolewa kwa watu 250,000 barani Ulaya
---

The European Medicines Agency (EMA) is recommending Novavax's COVID-19 vaccine carry a warning of the possibility of two types of heart inflammation, an added burden for a shot that has so far failed to win wide uptake.

The heart conditions - myocarditis and pericarditis - should be listed as new side effects in the product information for the vaccine, Nuvaxovid, based on a small number of reported cases, the EMA said on Wednesday.

In June, the U.S. Food and Drug Administration flagged a risk of heart inflammation from the Novavax vaccine.

Myocarditis and pericarditis were previously identified as rare side effects, mostly seen in young men, from groundbreaking messenger RNA (mRNA) vaccines made by Moderna (MRNA.O) and the Pfizer and BioNTech(22UAy.DE) alliance, with the vast majority of those affected recovering fully.

Source: Reuters
 
Chanjo mbaya sana
 
Wazee wa machanjo wanachungulia na kujificha.

We elite uchwara Yoda njoo uone huku machanjo yana mushkeli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom