technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Waponda pia njia anazotumia kutumbua majipu .
Atakiwa kutumia mbinu zinazofuata sheria za nchi na kutovunja haki za binadamu.
Eeeh wacha awashugulikiekumekucha!!!
Trump naye atamwaga nyuki january baada ya kuapishwa
Kwani EU ni nani hapa Tanzania?
Nashangaa watu mnavyowahusudu hawa Jamaa sijui kama mnawajua vizuri...
Hawa ndio wale wanataka tusaini ule mkataba wa EPA, Kwamba, Kwamba Bidhaa zao zitaingia Tanzania free of charge kwa miaka kadhaa, huku na sisi tukiruhusiwa kuingiza Bidhaa kwao (Ila kuna sharti, ni lazima bidhaa hizo ziwe na Ubora unaolingana na wao) Hapa ni sawa na baba kumlazimisha mwanae mchanga ale Ugali.
Vile vile, Eti, Hatutaruhusiwa kuanzisha kodi yoyote kwa bidhaa zao kwa wakati wowote hadi mkataba ufike kikomo,
Kituko sasa, Eti kama tukitoa relief (Unafuu Fulani kwa mfano, kwa China au Urusi) Basi na wao Tuwape hiyo hiyo relief...
Hao ndio EU Watetezi wa haki za Binadamu,
Kuna watu wengi sana wanajidanganya eti Trump ataingilia nchi za kiafrika eti kuwaondoa madikiteta na kukomesha baadhi ya mambo...
Ndugu zangu, sahauni, Kila nchi ni Sovereign state, hivyo ni lazima ziheshimiane, vile vile, Marekani anajua kuwa endapo atafanya ujinga wake Basi Nchi nyingi za Kiafrika zitahamia EAST (China) hivyo ushawishi wa marekani utapungua ikiwemo Investments ya US Company in Africa, kumbuka Trump juzi katamka kitu kwamba anataka kudhibiti free trade na China, China nayo ikamjibu kuwa na sisi tuta-retaliate..
Hivyo msahau hayo ya Trump
We unajadili mada gani tena?Kwani EU ni nani hapa Tanzania?

KAMA CHANZO NI TANZANIA DAIMA SISHANGAI.NI POROJO ZAO ZA KAWAIDA !Chanzo: Tanzania Daima
Kesho kichwa cha habari wanaweza weka "ICC kuiburuza kortini Jecha.
Ndio akili za Tanzania Daima hizi
Hizo nchi za East (China) wanahaha kuwa na uhusiano nzuri na US, juzi rais wa China kazungumza na Trump, jana waziri mkuu wa Japan kakutana na Trump, Mugabe amesema atajaribu ke-mend fence na Trump, Ulaya wanahofu kuu na sera za Trump mpaka Obama ameenda kuwatuliza, etc. We need Americans more than they need us, huo ndio ukweli. Kama ni kwenda East mbona Mugabe kajaribu na bado uchumi wake ndio unazidi kudidimia?
Sovereign state. Hata aibu huoni. Mnaomba hata uwanja wa mpira lakini mazwazwa mnasifu ujinga wa kisovereign state JF. Jitegemeeni kama kweli unayoyaropoka hapa. Mnashindwa hata kuhudumia maafa ambayo yametokea eneo dogo la nchi yenu kwa ujuha mnabaki kujisifia kwa kuwa mmenunua virungu na mabomu ya machozi kulinda usovereign state wa poriniTanzania ni sovereign state mambo yetru ya ndani hayawezi kuingiliwa na chombo au nchi yoyote, waende zao wakashugulikie mambo ya ulaya ambayo ndio msingi wa kuundwa kwa chombo hicho. TENA HATUTAKI KABISA KULISIKIA LI EPA LAO
Haaah Kwi.Kwi .Kwi....Sovereign state. Hata aibu huoni. Mnaomba hata uwanja wa mpira lakini mazwazwa mnasifu ujinga wa kisovereign state JF. Jitegemeeni kama kweli unayoyaropoka hapa. Mnashindwa hata kuhudumia maafa ambayo yametokea eneo dogo la nchi yenu kwa ujuha mnabaki kujisifia kwa kuwa mmenunua virungu na mabomu ya machozi kulinda usovereign state wa porini
tehe tehe tehe teheHaaah Kwi.Kwi .Kwi....