Umoja wa Ulaya wamtaka Rais Magufuli aruhusu mikutano ya siasa

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,841
1479447079495.jpg

Waponda pia njia anazotumia kutumbua majipu .

Atakiwa kutumia mbinu zinazofuata sheria za nchi na kutovunja haki za binadamu.
 
Kwani EU ni nani hapa Tanzania?

Nashangaa watu mnavyowahusudu hawa Jamaa sijui kama mnawajua vizuri...

Hawa ndio wale wanataka tusaini ule mkataba wa EPA, Kwamba, Kwamba Bidhaa zao zitaingia Tanzania free of charge kwa miaka kadhaa, huku na sisi tukiruhusiwa kuingiza Bidhaa kwao (Ila kuna sharti, ni lazima bidhaa hizo ziwe na Ubora unaolingana na wao) Hapa ni sawa na baba kumlazimisha mwanae mchanga ale Ugali.

Vile vile, Eti, Hatutaruhusiwa kuanzisha kodi yoyote kwa bidhaa zao kwa wakati wowote hadi mkataba ufike kikomo,

Kituko sasa, Eti kama tukitoa relief (Unafuu Fulani kwa mfano, kwa China au Urusi) Basi na wao Tuwape hiyo hiyo relief...

Hao ndio EU Watetezi wa haki za Binadamu,
 
Tanzania ni sovereign state mambo yetru ya ndani hayawezi kuingiliwa na chombo au nchi yoyote, waende zao wakashugulikie mambo ya ulaya ambayo ndio msingi wa kuundwa kwa chombo hicho. TENA HATUTAKI KABISA KULISIKIA LI EPA LAO
 
hivi ile sheria utekelezaji wake unaanza lini? EU hawajui katiba yetu ipoje ndio maana wanataka hivyo! Katiba yetu inasema nchi yetu ni ya kijeda na hivyo sisi tunapaswa kutii agizo la amiri jeshi mkuu bila kuhoji maana ndio utaratibu wa kijeda!
Waache uchochezi mpaka tutakapobadili katiba na kumfanya rais wa nchi asiwe amiri jeshi mkuu! Rais akiwa ndiye amiri jeshi mkuu, basi nchi lazima iende kwa mujibu wa matakwa ya amiri jeshi mkuu! Hayo maigizo mengine hayana effects!
 
Kuna watu wengi sana wanajidanganya eti Trump ataingilia nchi za kiafrika eti kuwaondoa madikiteta na kukomesha baadhi ya mambo...

Ndugu zangu, sahauni, Kila nchi ni Sovereign state, hivyo ni lazima ziheshimiane, vile vile, Marekani anajua kuwa endapo atafanya ujinga wake Basi Nchi nyingi za Kiafrika zitahamia EAST (China) hivyo ushawishi wa marekani utapungua ikiwemo Investments ya US Company in Africa, kumbuka Trump juzi katamka kitu kwamba anataka kudhibiti free trade na China, China nayo ikamjibu kuwa na sisi tuta-retaliate..

Hivyo msahau hayo ya Trump
 
Kwani EU ni nani hapa Tanzania?

Nashangaa watu mnavyowahusudu hawa Jamaa sijui kama mnawajua vizuri...

Hawa ndio wale wanataka tusaini ule mkataba wa EPA, Kwamba, Kwamba Bidhaa zao zitaingia Tanzania free of charge kwa miaka kadhaa, huku na sisi tukiruhusiwa kuingiza Bidhaa kwao (Ila kuna sharti, ni lazima bidhaa hizo ziwe na Ubora unaolingana na wao) Hapa ni sawa na baba kumlazimisha mwanae mchanga ale Ugali.

Vile vile, Eti, Hatutaruhusiwa kuanzisha kodi yoyote kwa bidhaa zao kwa wakati wowote hadi mkataba ufike kikomo,

Kituko sasa, Eti kama tukitoa relief (Unafuu Fulani kwa mfano, kwa China au Urusi) Basi na wao Tuwape hiyo hiyo relief...

Hao ndio EU Watetezi wa haki za Binadamu,

Hivi haya maneno unategemea ukimwambia Maalim Seif na CUF Zanzibar watakuelewa?
 
Kuna watu wengi sana wanajidanganya eti Trump ataingilia nchi za kiafrika eti kuwaondoa madikiteta na kukomesha baadhi ya mambo...

Ndugu zangu, sahauni, Kila nchi ni Sovereign state, hivyo ni lazima ziheshimiane, vile vile, Marekani anajua kuwa endapo atafanya ujinga wake Basi Nchi nyingi za Kiafrika zitahamia EAST (China) hivyo ushawishi wa marekani utapungua ikiwemo Investments ya US Company in Africa, kumbuka Trump juzi katamka kitu kwamba anataka kudhibiti free trade na China, China nayo ikamjibu kuwa na sisi tuta-retaliate..

Hivyo msahau hayo ya Trump

Hizo nchi za East (China) wanahaha kuwa na uhusiano nzuri na US, juzi rais wa China kazungumza na Trump, jana waziri mkuu wa Japan kakutana na Trump, Mugabe amesema atajaribu ke-mend fence na Trump, Ulaya wanahofu kuu na sera za Trump mpaka Obama ameenda kuwatuliza, etc. We need Americans more than they need us, huo ndio ukweli. Kama ni kwenda East mbona Mugabe kajaribu na bado uchumi wake ndio unazidi kudidimia?
 
Kwani EU ni nani hapa Tanzania?

Nashangaa watu mnavyowahusudu hawa Jamaa sijui kama mnawajua vizuri...

Hawa ndio wale wanataka tusaini ule mkataba wa EPA, Kwamba, Kwamba Bidhaa zao zitaingia Tanzania free of charge kwa miaka kadhaa, huku na sisi tukiruhusiwa kuingiza Bidhaa kwao (Ila kuna sharti, ni lazima bidhaa hizo ziwe na Ubora unaolingana na wao) Hapa ni sawa na baba kumlazimisha mwanae mchanga ale Ugali.

Vile vile, Eti, Hatutaruhusiwa kuanzisha kodi yoyote kwa bidhaa zao kwa wakati wowote hadi mkataba ufike kikomo,

Kituko sasa, Eti kama tukitoa relief (Unafuu Fulani kwa mfano, kwa China au Urusi) Basi na wao Tuwape hiyo hiyo relief...

Hao ndio EU Watetezi wa haki za Binadamu,
We unajadili mada gani tena?
 
Kuna watu wengi sana wanajidanganya eti Trump ataingilia nchi za kiafrika eti kuwaondoa madikiteta na kukomesha baadhi ya mambo...

Ndugu zangu, sahauni, Kila nchi ni Sovereign state, hivyo ni lazima ziheshimiane, vile vile, Marekani anajua kuwa endapo atafanya ujinga wake Basi Nchi nyingi za Kiafrika zitahamia EAST (China) hivyo ushawishi wa marekani utapungua ikiwemo Investments ya US Company in Africa, kumbuka Trump juzi katamka kitu kwamba anataka kudhibiti free trade na China, China nayo ikamjibu kuwa na sisi tuta-retaliate..

Hivyo msahau hayo ya Trump

Trump mwenyewe ndio kasema ataangalia Serikali za Kiafrika zinazoongozwa kidikteta na akatoa mfano wa Uganda na Zimbabwe.Alisema Afrika kuna viongozi Miunguwatu wanaowadhulumu wananchi wao maskini.Wamarekani wakamkubali na kumpa kura.Muungwana lazima atimize ahadi alizoahidi kwa wapigakura wake.
 
Hizo nchi za East (China) wanahaha kuwa na uhusiano nzuri na US, juzi rais wa China kazungumza na Trump, jana waziri mkuu wa Japan kakutana na Trump, Mugabe amesema atajaribu ke-mend fence na Trump, Ulaya wanahofu kuu na sera za Trump mpaka Obama ameenda kuwatuliza, etc. We need Americans more than they need us, huo ndio ukweli. Kama ni kwenda East mbona Mugabe kajaribu na bado uchumi wake ndio unazidi kudidimia?

Mugabe akiamua kuondolewa Vikwazo inambidi aende Uingereza siyo Marekani, maana chanzo cha vikwazo kiuhalisia ni Kuwanyang'anya mashamba wakulima wa kizungu na wengine kufukuzwa, hivyo ni lazima aanzie Uingereza ambayo Raia wake ndio walioathirika Zaidi na hiyo operation then Uingereza ataongea na US.
 
Tanzania ni sovereign state mambo yetru ya ndani hayawezi kuingiliwa na chombo au nchi yoyote, waende zao wakashugulikie mambo ya ulaya ambayo ndio msingi wa kuundwa kwa chombo hicho. TENA HATUTAKI KABISA KULISIKIA LI EPA LAO
Sovereign state. Hata aibu huoni. Mnaomba hata uwanja wa mpira lakini mazwazwa mnasifu ujinga wa kisovereign state JF. Jitegemeeni kama kweli unayoyaropoka hapa. Mnashindwa hata kuhudumia maafa ambayo yametokea eneo dogo la nchi yenu kwa ujuha mnabaki kujisifia kwa kuwa mmenunua virungu na mabomu ya machozi kulinda usovereign state wa porini
 
Haaah Kwi.Kwi .Kwi....
 
Back
Top Bottom