Umoja wa Ulaya wamtaka Rais Magufuli aruhusu mikutano ya siasa

Huyu jamaa atatuokoa kwa kweli.
Nawaheshimu wamarekani kwa kutuonea huruma na kutuchagulia mtu wa kutukomboa.
Fifi mwenzetu alikuwa anazunguka kama pia mule ikulu.
Sasa anaingia mtu ambaye hana muda wa kushangaa wala kitu cha kushangaa mule ikulu.
kumekucha!!!

Trump naye atamwaga nyuki january baada ya kuapishwa
 
Kwani EU ni nani hapa Tanzania?

Nashangaa watu mnavyowahusudu hawa Jamaa sijui kama mnawajua vizuri...

Hawa ndio wale wanataka tusaini ule mkataba wa EPA, Kwamba, Kwamba Bidhaa zao zitaingia Tanzania free of charge kwa miaka kadhaa, huku na sisi tukiruhusiwa kuingiza Bidhaa kwao (Ila kuna sharti, ni lazima bidhaa hizo ziwe na Ubora unaolingana na wao) Hapa ni sawa na baba kumlazimisha mwanae mchanga ale Ugali.

Vile vile, Eti, Hatutaruhusiwa kuanzisha kodi yoyote kwa bidhaa zao kwa wakati wowote hadi mkataba ufike kikomo,

Kituko sasa, Eti kama tukitoa relief (Unafuu Fulani kwa mfano, kwa China au Urusi) Basi na wao Tuwape hiyo hiyo relief...

Hao ndio EU Watetezi wa haki za Binadamu,
Wazungu ndio watoa misada kwenye majanga kama lile la kagera
 
Hauwezi shindana Na EU ukashinda muulize brother Mugabe kalegea
 
hivi ile sheria utekelezaji wake unaanza lini? EU hawajui katiba yetu ipoje ndio maana wanataka hivyo! Katiba yetu inasema nchi yetu ni ya kijeda na hivyo sisi tunapaswa kutii agizo la amiri jeshi mkuu bila kuhoji maana ndio utaratibu wa kijeda!
Waache uchochezi mpaka tutakapobadili katiba na kumfanya rais wa nchi asiwe amiri jeshi mkuu! Rais akiwa ndiye amiri jeshi mkuu, basi nchi lazima iende kwa mujibu wa matakwa ya amiri jeshi mkuu! Hayo maigizo mengine hayana effects!
Imeandikwa wapi ndugu yangu?
 
Kuna watu wengi sana wanajidanganya eti Trump ataingilia nchi za kiafrika eti kuwaondoa madikiteta na kukomesha baadhi ya mambo...

Ndugu zangu, sahauni, Kila nchi ni Sovereign state, hivyo ni lazima ziheshimiane, vile vile, Marekani anajua kuwa endapo atafanya ujinga wake Basi Nchi nyingi za Kiafrika zitahamia EAST (China) hivyo ushawishi wa marekani utapungua ikiwemo Investments ya US Company in Africa, kumbuka Trump juzi katamka kitu kwamba anataka kudhibiti free trade na China, China nayo ikamjibu kuwa na sisi tuta-retaliate..

Hivyo msahau hayo ya Trump
Acha ujinga hakuna sovereign state moja, marekani anapotaka kuingia anaingia tu, Libya haikua, Iraq hazikua sovereign state? Kiongozi wowote africa atakaezuia maslah yake atumuondoa tu haijalishi awe dictator au awe wa kuchaguliwa na wananchi
 
Kwani EU ni nani hapa Tanzania?

Nashangaa watu mnavyowahusudu hawa Jamaa sijui kama mnawajua vizuri...

Hawa ndio wale wanataka tusaini ule mkataba wa EPA, Kwamba, Kwamba Bidhaa zao zitaingia Tanzania free of charge kwa miaka kadhaa, huku na sisi tukiruhusiwa kuingiza Bidhaa kwao (Ila kuna sharti, ni lazima bidhaa hizo ziwe na Ubora unaolingana na wao) Hapa ni sawa na baba kumlazimisha mwanae mchanga ale Ugali.

Vile vile, Eti, Hatutaruhusiwa kuanzisha kodi yoyote kwa bidhaa zao kwa wakati wowote hadi mkataba ufike kikomo,

Kituko sasa, Eti kama tukitoa relief (Unafuu Fulani kwa mfano, kwa China au Urusi) Basi na wao Tuwape hiyo hiyo relief...

Hao ndio EU Watetezi wa haki za Binadamu,
Sasa wewe wasiwasi wako nini wakati dingi kasema tunajenga viwanda? Acha uoga. Au unataka kusema kwamba dingi mwongo?
 
Kuna watu wengi sana wanajidanganya eti Trump ataingilia nchi za kiafrika eti kuwaondoa madikiteta na kukomesha baadhi ya mambo...

Ndugu zangu, sahauni, Kila nchi ni Sovereign state, hivyo ni lazima ziheshimiane, vile vile, Marekani anajua kuwa endapo atafanya ujinga wake Basi Nchi nyingi za Kiafrika zitahamia EAST (China) hivyo ushawishi wa marekani utapungua ikiwemo Investments ya US Company in Africa, kumbuka Trump juzi katamka kitu kwamba anataka kudhibiti free trade na China, China nayo ikamjibu kuwa na sisi tuta-retaliate..

Hivyo msahau hayo ya Trump
Hivi nyinyi kapuku Tanzania mna nini cha marekani kuwagwaya ? Halafu ni faida gani wewe binafsi au labda na familia yako mnapata kwa nchi hii kuendeshwa kwa udikteta wa kishamba ?
 
Mugabe akiamua kuondolewa Vikwazo inambidi aende Uingereza siyo Marekani, maana chanzo cha vikwazo kiuhalisia ni Kuwanyang'anya mashamba wakulima wa kizungu na wengine kufukuzwa, hivyo ni lazima aanzie Uingereza ambayo Raia wake ndio walioathirika Zaidi na hiyo operation then Uingereza ataongea na US.
Sasa si aende tu huko east unakodai?
 
Sovereign state. Hata aibu huoni. Mnaomba hata uwanja wa mpira lakini mazwazwa mnasifu ujinga wa kisovereign state JF. Jitegemeeni kama kweli unayoyaropoka hapa. Mnashindwa hata kuhudumia maafa ambayo yametokea eneo dogo la nchi yenu kwa ujuha mnabaki kujisifia kwa kuwa mmenunua virungu na mabomu ya machozi kulinda usovereign state wa porini
Hehehe umempa za uso
 
Kwani EU ni nani hapa Tanzania?

Nashangaa watu mnavyowahusudu hawa Jamaa sijui kama mnawajua vizuri...

Hawa ndio wale wanataka tusaini ule mkataba wa EPA, Kwamba, Kwamba Bidhaa zao zitaingia Tanzania free of charge kwa miaka kadhaa, huku na sisi tukiruhusiwa kuingiza Bidhaa kwao (Ila kuna sharti, ni lazima bidhaa hizo ziwe na Ubora unaolingana na wao) Hapa ni sawa na baba kumlazimisha mwanae mchanga ale Ugali.

Vile vile, Eti, Hatutaruhusiwa kuanzisha kodi yoyote kwa bidhaa zao kwa wakati wowote hadi mkataba ufike kikomo,

Kituko sasa, Eti kama tukitoa relief (Unafuu Fulani kwa mfano, kwa China au Urusi) Basi na wao Tuwape hiyo hiyo relief...

Hao ndio EU Watetezi wa haki za Binadamu,

hii akili uliiweka wapi wakati nchi inaingia mirahaba ya 3% kwenye madini? na huyo Magu ni mani mpaka anazuia mikutano ya siasa wakati chama chake na Lipumba wanafanya? Acheni hizo wakati mnaharibu uchumi.
 
Sovereign state. Hata aibu huoni. Mnaomba hata uwanja wa mpira lakini mazwazwa mnasifu ujinga wa kisovereign state JF. Jitegemeeni kama kweli unayoyaropoka hapa. Mnashindwa hata kuhudumia maafa ambayo yametokea eneo dogo la nchi yenu kwa ujuha mnabaki kujisifia kwa kuwa mmenunua virungu na mabomu ya machozi kulinda usovereign state wa porini
Mpaka nimejisikia aibu kwa nchi yangu Tz
 
hii akili uliiweka wapi wakati nchi inaingia mirahaba ya 3% kwenye madini? na huyo Magu ni mani mpaka anazuia mikutano ya siasa wakati chama chake na Lipumba wanafanya? Acheni hizo wakati mnaharibu uchumi.
Teh teh teh
 
Kwa hili wazungu "wawakanye" viongozi wao, nchi zetu ziko huru kwa mambo yao ya ndani ...kama wanataka ujinga waenda wakamshike sharubu Trump
 
Back
Top Bottom