Umoja wa Ulaya (EU) kuiondolea Burundi vikwazo vya kifedha

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Umoja wa Ulaya (EU) upo kwenye Mchakato wa kuiondolea Burundi vizuizi vya kifedha, ambapo Mwakilishi wake Nchini humo amesema hatua hiyo ni mwanzo wa kufuta marufuku hiyo.

Mwaka 2016, EU Ilisitisha msaada wa moja kwa moja wa kifedha kwa Serikali ya Burundi kutokana na ukiukwaji wa Haki za Binadamu baada ya ghasia zilizofuata kufuatia Mapinduzi ya Kijeshi yaliyoshindwa.
=======

The European Union is in the process of removing financial restrictions on Burundi, the president’s office has said.

The decision to lift the ban on restrictions was communicated to Burundi’s president when he met the EU delegates on Monday in the political capital, Gitega, the president’s office announced on Twitter.

The EU representative in Burundi, Claude Bochu, said that this was "a starting process to lift the ban on Burundi".

In 2016, the EU suspended direct financial support to the Burundian government over human rights violations after the unrest that followed the failed coup of 2015.

Since 2020, under President Evariste Ndayishimiye, Burundi has made efforts to restore rights and foreign relations, and had approached the EU to lift the ban.

But different rights groups on Monday wrote a petition to the EU deploring “widespread impunity for past and ongoing serious human rights violations” in the country.

Source: BBC
 
But different rights groups on Monday wrote a petition to the EU deploring “widespread impunity for past and ongoing serious human rights violations” in the country.
"rights groups" huwa ni viumbe wa sayari ipi?, maana kwa nchi maskin isipopata misaada ya moja kwa moja haiwezi hata kutosheleza mahitaji ya dawa muhimu kwa wananchi wake
 
Back
Top Bottom