Umoja wa nchi huru za kiafrika-Muswaada mbinu mpya mbadala ( African unity-the new strategic proposal)

AFRICA itakuwa Huru siku AU itakapoikubalia Israel kuwa ni mmojawapo ya wanachama wake.
Hii itavunja hila na mbinu zote za wazungu kuitawala Afrika na kurejesha ustaarabu wa Dunia ya kale, kuondoa dhana ya uarabu, uzungu, weusi, imani za dini na ubaguzi.
 
Jambo la kwanza ni kuwajengea Afrika fikra za kujiamnini,kujipenda na kujikubali kwanza na hili linawezekana kwa kutoa mkazo kwenye mtazamo mwingine wa bara Africa.

2.Kujikomboa kiuchumi.
Kitu gani kinawahusisha waafrika wengi sana ?jibu ni kilimo,kwahyo endeleza kilimo kwa kuhakikisha masoko kwa mazoa ya wakulima,na masoko hayo yasiwe na kuuza malighafi,yawe viwanda vya ndani vitavyoongeza thamani bidhaa hizo pamoja na kuzichakata.Hivi viwanda sababu havina ujuzi mkubwa vilindwe toka washindani wa nje waliobobea na wasiishie kulindwa tu bali ihakikishwe vinakua.

Watu wahamasishwe kuvipenda vya kwao.

Miundombinu ya kusaidia viwanda yote iwe vizuri.kama nishati,usafirishaji,taasisi za kielimu na kifedha pamoja na Afya.

Mapato yatakayopatikana yawekezwe na mkono wa serikali katika bidhaa muhimu za kijamii kama makazi,Afya,usafiri wa umma,huduma za maji na usafi wa mazingira.
 
AFRICA itakuwa Huru siku AU itakapoikubalia Israel kuwa ni mmojawapo ya wanachama wake.
Hii itavunja hila na mbinu zote za wazungu kuitawala Afrika na kurejesha ustaarabu wa Dunia ya kale, kuondoa dhana ya uarabu, uzungu, weusi, imani za dini na ubaguzi.
Sijawahi sikia Israel wakiomba uanachama wa AU boss
 
Africa inanyonywa na Nani? Yanyonywa na binadamu walio wabinafsi, ndani na nje ya nchi
Kivipi? Kwa njia nyingi, kutokulipa kodi, kutokulipa malipo stahiki kwenye maliasili na rasilimali za taifa.
Kwanza Africa ni Nini? Wanadai ni jina walilolipa Warumi, au "Afer", labda sababu lilikaliwa na watu wenye asili ya Bantu, ila wengine wataenda mbali na kusema kuna mchanganyiko wa watu sababu ya binadamu kutokutulia sehemu moja.
Hivi unajenga taswira gani ya dunia yetu ikiwa Africa Itaungana? Afrika kuungana siyo rahisi, sababu ziko nyingi, kuanzia Dini zetu kwa sasa, Kabila, Utamaduni, ubinafsi na uroho wa madaraka wa viongozi wetu, ni ngumu, hata (EU) inapata tatizo kwenye hili..
Sema vikwazo na masuluhisho..Hata Wazungu watatishika na hili wazo, hasa kibiashara, maana mpaka sasa hela zitokazo Afrika kwenda Mataifa ya Magharibi nyingi zaidi au wanadai ni mara kumi zaidi ya hela wanayodai wanawekeza au kuisadia Afrika (kama enzi hizo).
Wahenga walisema..Umoja ni Nguvu, Utengano Dhaifu....Ila yawezekana Afrika kuungana kama Mataifa ya Afrika na viongozi wao wataweka mbele maslahi ya wananchi wao kuliko yao...
Jeb nimekumiss mpenz wangu
 
Africa inanyonywa na Nani? Kivipi? Kwanza Africa ni Nini, Nini chanzo cha jina hili?Pengine unamaanisha ukombozi wa mtu mweusi, lakini anakombolewa kutoka kwenye nini...na tunaposema mtu mweusi tuna maanisha Nini? Hivi unajenga taswira gani ya dunia yetu ikiwa Africa Itaungana?

Mengi yamesemwa...wengi wamesema...kuanzia Historia za kale kabisa hadi leo...wengi wamejaribu, na wengine kuuliwa..akina Peter Tosh, Martin Luther King, na Malcom X , Bob Marley, Walter Rodney Thomas Sankara, Nyerere kwa ufinyu.

Hivi Africa inaweza kuungana? Kwanza kwa Nini? Kwa vipi? Sema vikwazo na masuluhisho....Ndugu wote mnakaribishwa kuchangia Mada hii Adhimu..... Asante[/QUOTE
Netanyahu: Palestinians must face reality

..angalia Trump ana cheza karata ya biblia...ku violate haki ya wapelestina....nikiwaambia awali myahudi anautumia msikiti nakanisa kama vyombo vya dola lake....na anawasiwasi gani na wakati Kuna about 2.5
misukule nyuma yake wakijiita wakrito? Akimaliza anafanya mashambulizi ya kigaidi anawasingizia waislamu....in such diabolical undertaking he has outsmarted the global power..huwezi ukaizungumzia dini ya mtu mweusi Wala ukombozi wa binadamu Bila kufunua uwongo wa mafundisho ya myahudi ambayo ndiyo mbegu za uislamu na ukristo....see the bigger picture...aliyelala Ni mweusi...na dini yake kongwe kabisa ya zamani kaisahau...tuko hapa kumkumbusha...the only way Ni ku detach from all Jewish doctrines which Sasa tunajua Ni uongo wote.....
 
Africa ni bara lenye watu wengi wenye asili ya rangi nyeusi japokuwa kuna baadhi ya watu wake wana asili ya kiarabu katika nchi ya misri, somalia, morroco, tunisia n.k

katika historia ya dunia, Africa ni eneo muhimu la kuchukua/kuiba malighafi na kwenda kuendeleza ulaya na maeneo mengine.

Hatahivyo zamani zile ambapo waafrika wengi hawakuwa na elimu ya kutambua kuwa wanaibiwa, wazungu walikuja na vitu vidogo vidogo kwa kubadilishana na pembe za ndovu pamoja na mali zingine.

Baada ya vita ya pili ya dunia Afrika ikawa na vuguvugu la kujipatia uhuru kutoka kwa wakoloni, basi mataifa mengine yakapata uhuru kwa njia ya amani wakati mengine kwa mtutu wa bunduki.

Baadaye wakoloni wakaumia sana kuona Afika inataka kuwa huru kiasi cha kupinga wizi wa maliasili zake.

Wakapanga mkakati wa kisomi zaidi wa kuiibia Afrika kwa kuleta kitu inaitwa ubepari/ubeberu tena wakatulazimisha kuukubali pasipo kujiandaa, hata hivyo hawakuchukua mda mrefu wakabuni njia mpya ya wizi wa kifikra inayoitwa demokrasia,

wakati huko kwao demokrasia inawanufaisha kwa kuwa na uhuru wa kuchagua na kujitawala kama taifa huru ila sisi Afrika wanatuambia hatuna haki ya kuamua au kujitawala kwa maana ya kuamua wapi tuuze mali zetu na je mwekezaji yupi tumkatae na yupi tumkubali ama wapi tununue silaha za kujilinda.

Afrika sasa inaiamini sana demokrasia kuliko hata mipaka yake na maamuzi yake.

Demokrasia ni nzuri kabisa lakini kwanini watulazimu kuwa na demokrasia wanayoitaka wao na siyo ile inayotufaa sisi.

Wakati hayo yakiendelea viongozi wa kiafrika waliazimu kubuni mbinu ya kushinda wizi huo wa kikoloni, basi martin luther king jr na wenzake wakaamua kuhamasisha Afrika kuungana na kuwa kitu kimoja.

Hapo napo wakawa wamegusa ukweli na kuchokoza maslahi ya wakoloni, balaa lake sasa ni kuwa wakoloni/wamarekani wakapanga kuwafyeka mmoja mmoja hadi waishe, na kweli wamewamaliza wenye akili wa Afrika.

Sasa Afrika imebaki na vibaraka wa wakoloni ambao wengi wamewekwa madarakani na hao mabepari wezi, wanaojifanya kuipenda Afrika kumbe ni maadui wa Afrika.

Afrika sasa ina ombwe la wanaharakati na viongozi wazalendo wa kupigania uhuru kwa mara ya pili dhidi ya ukoloni mambo leo.

Huzuni zaidi ni kwamba Afrika sasa inapambana kuoana jinsia moja yaani kuna ndume zinataka demokrasia ya kuoana wao kwa wao huku wadada nao wanataka kuoana wao kwa wao.
Afrika haijielewi sasa, Afrka inapoteza utambulisho wake.

Wasomi wengi wa Afrika siyo wa kutegemewa kuiunganisha Afrika wala kupigania maslahi ya Afrika maana wengi wao ni vibaraka wa mabepari tena wengine wanafikiri kuwa mwaafrika ni laana.

Nani aiunganishe Afrika, ni mimi na wewe pamoja na msomi yeyote mwenye akili zisizo za kishoga au za kipumbavu ama akili za kujidharau.

Napenda kuwa mwaafrika mwenye upendo na ndugu zangu, nchi yangu na bara langu.

PENDEKEZO: Afrika iweke somo la AFRICANISM/BLACKISM kwenye mitaala yake ya elimu hasa ya awali ili kuwaandaa watoto wajielewe mapema.

Pili, kianzishwe chuo cha kiafrika chenye maudhui ya kufundisha AFRICANISM NA VALUES OF AFRICAN CULTURE/IDENTITY.

Tatu, viongozi wasiwe na nguvu kuzidi katiba ya nchi, viongozi wezi wawajibishwe na mahakama za nchi husika.

Nne, somo la teknolojia lifundishwe kutoka elimu ya awali kwa Afrika nzima.

Tano, Afrika iwafundishe watoto wake ukweli kuwa adui namba moja ni MKOLONI MAMBO LEO na siyo ebola.

Sita, Afrika iungane ktk minds siyo katika boundaries, yaani Afrika nzima iungane kifikra kukataa ukoloni mambo leo na siyo kufikiri kuunganisha mipaka ya nchi zote.

Saba, Afrika ianze kidogo kidogo kutengeneza silaha zake yenyewe.

GO AFRICA
Ukiwa na shida usi site kuniomba hela. Nitakupa nipo siriasi
 
Back
Top Bottom