Umoja wa mataifa UN, US na EU ndio wavunjifu wa amani duniani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umoja wa mataifa UN, US na EU ndio wavunjifu wa amani duniani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ami, Oct 24, 2012.

 1. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wapi katika dunia ambapo umoja wa mataifa au mataifa ya Ulaya na Marekani wameingia na pakawa na utulivu.
  Angalia Iraq,Pakistan na Libya.Angalia Yemen na Somalia.Angalia Sudan na Syria.Angalia na Myamar.
  Hawa ni maadui wa amani na maadui wa waislamu.Kwa sababu penye waislamu amani huvunjwa kwa kuwapiga waislamu.
  Sasa wameingia Kongo hawaoni haya kuwaunganisha Uganda na Rwanda eti ndio wanaofadhili waasi Kongo.Kama si uchochezi huo ni nini.
  Ustadi wao wa kuvunja amani huwa wanatumia mianya midogo ya mifarakano kuwagonganisha ndugu waliokuwa wakiishi kwa amani.Wakienda Burma ni mabuda na waislamu.Wakija Tanzania ni waislamu na wakristo.Wanatumiwa wakristo kuvunja amani kwa kuwakandamiza waislamu.
   
 2. Rapha

  Rapha Tanzanite Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 631
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Pamoja ya kuwasamehe baada ya kuchoma makanisa yetu bado mnahic mnaonewa?? Mu wazima kweli nyie watu?!
   
 3. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wakamatwe maaskofu watoe ushahidi wa waislamu kuchoma makanisa.
   
 4. C

  COMRADE CHRIS HANI Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...kaka Ami...alhamdullillah..nimeangalia iraq( na ulimwengu wote wa kiarabu), nimeangalia pakistan,somalia, na sudan (kwa jicho la kiafrika, ukitilia maanani kuwa suda ni sehemu ya afrka)..nilichokiona ni unafiki mkubwa wa watu wa nchi husika...hususan somalia...!waliungana kumuondoa general siyad barreh...kisha? alipoondoka? ..unaweza kudai unataka amani huku unapigana? itapatikana vp? na demokrasia gani inayopeleka walinzi wa amani mahali palipokosa amani? hata udikteta (na ufalme pia)haukubali, nikidhani ndio maana hata nchi za kiarabu na zingine zote zinazodai kuwa ni za kiislamu(kama ni kweli) hazifikirii hata kidogo kupeleka askari wake ktk maeneo ya waislamu wanaopigana...!umoja wa mataifa unaweza kuwa na makosa yake kiutendaji ktk kusimamia amani..hususan ktk suala la mauaji ya kimbari ktk rwanda...lkn somalia kwa mfano..?si kulipelekwa "operation restore hope" ikiwajumuisha mataifa mengi ya kiislamu (saudia ilikuwa mara yake ya kwanza kuchangia jeshi kulinda amani)..kilichotokea? utailaumu un? ok.. pakistan? nenda kawaulize wailsam wa bangladesh kuhusu pakistan..!yemen? unailamu un? kosa lake? majirani zake wenye utajiri wamefanya nini kuisaidia?...ah! ami nyumba yako ikiwa inawaka moto..kabiliana nao uiokoe..acha kulalamikia majirani na "zimamoto"....
   
 5. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hebu eleza Pakistan imeifanyiia nini Bangladesh.
  Mfano Pervez Musharaf rafiki wa Marekani akifanya kitu kwa wapakistani utakuwa na imani gani kwamba ni yeye muamuzi.
  Turudi Yemen.Wananchi hawaitaki serikali iliyoasisiwa na Ali Abdullah Saleh rafiki wa Marekani.Sababu gani ya kutumia drone kuua waislamu ikisemwa ni Alqaeda ilimradi tu wasijitawale wenyewe.
  Twende Burma.Haijawahi kutokea mabuda wakauwa waislamu 28000 na kuchoma nyumba zao moto hata kama waislamu na mabudha wana tofauti zao.Hili limetokea mara tu viongozi wa Burma walipolegeza kamba kwa shinikizo la muda mrefu wakampa nafasi rafiki kipenzi wa Marekani aitwaye Aung San Suukyi.
  Tanzania tuna tofauti zetu.Lakini haijawahi wakristo kupata kiburi cha kuwakandamiza waislamu kuliko kipindi hiki tangu Kikwete awakaribishe Marekani baada ya safari zake nyingi huko.Kwa upande mwengine mbona wakristo hawakuwahi kukojolea msahafu hadharani mpaka pale Kenya iliposema imekamta Kismayuu.
  Kwanini Kenya haikuingia Somalia mpaka pale Libya iliposhikwa kwa kuuliwa Ghadafi.Huoni kwamba haya mambo hayaratibiwi hapa kwetu,bali ni kazi ya kutoka huko huko.
   
 6. piper

  piper JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sidhani kama upo sahihi, ni mtazamo tu, epuka kuongea jambo hata kama ni la msingi uweke udini, ukabila na ukanda your point becomes diluted hence you become biased and unable to give reasoned opinion.

  • :shut-mouth:
   
 7. Bartazar

  Bartazar JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 805
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Watu kama wewe ni hatari sana ambao mnapokosa majibu ya matatizo yenu mnaanza kutafuta mchawi na mwisho wa siku mnakuja gundua kuwa ninyi haswa ndo wachawi! Matatizo yenu hayakuletwa na wakristu, jichunguzeni ni wapi hasa hamkutimiza wajibu wenu kama binadamu wenye fikra huru!
   
 8. J

  John W. Mlacha Verified User

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  nilipoona hii thread nikajua uamsho ndio walioianzisha na kweli.
  Nyie jamaa hamjui mnalolitaka.
   
 9. J

  John W. Mlacha Verified User

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Wewe ni mjinga wa kwanza hapa duniani.
   
 10. J

  John W. Mlacha Verified User

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Huyo rais wa yemen ni askofu? Acha ujinga na umbumbumbu kama mtoto mdogo.
   
 11. J

  John W. Mlacha Verified User

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Kilaza huyu anaisikiliza redio iman anatuletea ujinga hapa.. Huku tunakuhoji na tunakupa facts hii sio redio kwamba utadanganya tu na kuondoka hii ni forums.
   
 12. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Umefoka sana lakini hujasema kitu cha maana.Akili za kushikiwa ndivyo zilivyo.
   
 13. J

  John W. Mlacha Verified User

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Wewe kilaza umeongea nini zaidi ya udini?
   
 14. J

  John W. Mlacha Verified User

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Ami acha udini .. Unaandika mambo hadi wewe mwenyewe unajionea aibu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Raisi wa Yemen si askofu lakini ni mvunjaji amani kwa kushirikiana na Marekani.Maaskofu ni wavunjifu wa amani Tanzania kwa kuchochewa na hivyo vitu nilivyoviorodhesha.
  Black huwezi kuona.Macho yako yana giza.
   
 16. J

  John W. Mlacha Verified User

  #16
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Hapo nimekuelewa , sasa wa kumlaumu ni marekani ama ni huyo rais wenu wa yemen? Kama yeye kawa mamluki na ni mwislamu anawaua waislamu wenzake nani wa kulaumiwa hapo??? Ukristo na marekani inayoongoza na HUSSEIN OBAMA??wHY uutulalamikie when muslims kills th're fellow muslims?????????????
   
 17. J

  John W. Mlacha Verified User

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Maaskofu unawaonea /mnawaonea kutokana na umbumbumbu wenu.
  Mrisho kikwete, suleman kova(alhaji), othman chande , bilal, shein, hamad(cuf) hawa wote wameshindwa kusimamia uislam hadi useme kuwa maaskofu ndio huchochea vurugu.
   
 18. J

  John W. Mlacha Verified User

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  walioamia makanisa ni waislamu? Ami
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hujaelewa vyema na mimi sijakuelewa.
  Mvunjifu wa amani hapo atakuwa ni huyo Marekani aliyetoka kwao maelfu ya kilomita na drone zake kuja kuzuia watu wasiomtaka raisi wa Yemen wasiweze kushika ikulu.Kama ni raisi basi alikwisha kufa kiraisi lakini akaendelea kulindwa mpaka akapatikana kibaraka mwengine.
  Uislamu wa Hussein Obama ni sawa na wa Kikwete huwa hauna faida na waislamu na hautowafaa hata wao wenyewe.Kwa vile tunazungumzia uvunjifu wa amani hawa ni sawa na maaskofu.
   
 20. Isalia

  Isalia JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 950
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Uko sahihi naunga mkono hoja kila penye uislam kwa ujinga wao wanasema hapana amani eti wanahifadhi magaidi sasa wanainyemelea mali kaskazini panga pangua watawapiga kisa uislam laiti mugabe angelikuwa muislam tayari angelishapelekewa ndege zisizo na rubani na kupigwa
   
Loading...