Umoja wa Mataifa umeipa Tanzania shilingi trilioni 4.3 za kuhuisha Maendeleo

Serikali: Tunaomba msaada,saidia baba saidia baba.

UN:Mbowe ni gaidi au si gaidi

Serikali:Kesi iko mahakamani hatuwezi kuingilia mahakama

UN:Mbowe siyo gaidi hii kesi ni ya mchongo hatuwezi kutoa msaada kwa serikali inayokandamiza raia wake

Serikali: Mbowe siyo gaidi tunamuachia bila masharti

UN:Sawa vizuri sana tutawapatia trilioni 4.5!
 
Back
Top Bottom