Umoja wa Mataifa: Ulimwengu unakabiliwa na janga la ukiukwaji wa Haki za Binadamu

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) António Guterres amesema Ulimwengu unakabiliwa na janga la ukiukwaji wa Haki za Binadamu.

Ameeleza kuwa, baadhi ya Serikali zimeweka vizuizi vikali juu ya Haki na Uhuru, zimetumia mlipuko wa COVID19 kama kisingizio cha kuzuia mazungumzo huru.

Guterres pia amesema janga la Virusi vya Corona limerudisha nyuma miaka ya Maendeleo ya Haki za Binadamu, na unyanyasaji umeshamiri kwa sababu umasikini, ubaguzi na ukosefu mwingine wa Haki umetengeneza udhaifu mkubwa katika Jamii.

Kwa mujibu wa Ripoti ya hivi karibuni ya Human Rights Watch, Nchi zisizopungua 83 zimetumia COVID-19 kama sababu ya kushambulia mazungumzo huru.

=====

The world is facing a “pandemic of human rights abuses”, the UN secretary general António Guterres has said.

Authoritarian regimes had imposed drastic curbs on rights and freedoms and had used the virus as a pretext to restrict free speech and stifle dissent.

Writing exclusively in the Guardian, Guterres said the Covid-19 pandemic had rolled back years of progress on human rights, and that abuses had “thrived because poverty, discrimination, the destruction of our natural environment and other human rights failures have created enormous fragilities in our societies”.

There has been a global crackdown on opposition activists and human rights defenders, increased attacks on journalists and moves to curb free speech, censor the media, roll out invasive tracking apps and put in place extreme surveillance measures, many of which are likely to far outlast the virus.

A recent report by Human Rights Watch found that at least 83 countries had used Covid-19 as a justification to attack free speech.

Source: 'A pandemic of abuses': human rights under attack during Covid, says UN head
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom