Umoja wa kudai katiba mpya Tanzania (UKUKAMTA)

Dunia yakoo

Senior Member
Nov 23, 2019
139
214
Umoja huu umeanziwa na watanzania walioweka itikadi za vyama pembeni na kuweka Taifa mbele #ukukamta2021
20210122_151811.jpg
 
Watanzania tusipoungana kwa hili la kudai katiba mpya itakula kwetu kwani kuna kuna kila dalili ya kuibuka genge fulani litakalochezea akili zetu kwa kuchomeka vifungu ambavyo vitakuwa mwiba ktk mustakabali wa taifa letu.
 
Hapo ni kweli kabisa Ukizingatia, Bunge lenye Upinzani Hamna kabisa, Tusubiri amalize Miaka yake Mitano kwanza.
 
Umoja huu umeanziwa na watanzania walioweka itikadi za vyama pembeni na kuweka Taifa mbele #ukukamta2021
View attachment 1689933
Tutawezaje kuwa na katiba mpya ndani ya Bunge la chama kimoja, hata tulipokuwa na Bunge la vysma vingi wananchi tulidhindwa kuwaunha mkono wabunge wa upinzani kiasi mchakato wote ukaonekana ni matakwa yao na si yawatanzania.

pascal mayalla yuko wapi?
 
1. Tunaijenga nchi sasa; mtulie hivyohivyo.

2. Kumbukeni kuvaeni mibarakao yenu wakati wa kukamatana kwenye hiko UKUKAMTA yenu, sawa!???
 
Wazo zuri, nashauri ufupisho makini.Mfano. "KMT" Katiba Mpya Tanzania. Wazee,vijana wa KMT kuweni sehemu ya historia tuachane na ujinga kuamuliwa maisha yetu na mtu.
 
Umoja huu umeanziwa na watanzania walioweka itikadi za vyama pembeni na kuweka Taifa mbele #ukukamta2021
View attachment 1689933
Hebu acha hizo! Nenda kawatumikie watz! Yaani kupigwa mkwara tu umeshaanza kudai katiba mpya! Hapa katiba haina msaada!
Muongozo utatolewa tu soon! Serikali yetu sikivu!
Mungu azidi kumuongoza, kumlinda, na kumbariki rais wetu mpendwa Mh Dr JPM na serikali yetu yote! Mungu azidi ibariki Tanzania!
 
Back
Top Bottom