Juzi niliona thread humu baada ya ajali iliyoua makada Wa CCM kule Moshi!! Ni kweli watu wengi wamekosa uzalendo kiasi cha kufurahia mauti ya MTU mwingine kana kwamba ni adui Yako!! Asilimia kubwa ya wanaofurahi mabaya yskiwapata watu Wa CCM ni ukawa!!haya yalianza mwaka 2008 walipoanza kusingizia watu kuwa ni mafisadi !! Mambo yamekuwa magumu zaidi mwaka juzi 2015 walipompokea waliyemchafua kuwa mgomba wao Wa urais!! Kitendo cha kumpokea Lowassa wakati walisema kuwa ni fisadi tena kwa kusubili atemwe na CCM kilijenga chuki kubwa kati ya CCM na Ukawa!! Panaitajika maridhiano ili kujenga na kudumisha umoja Wa kitaifa