Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,925
- 95,203
Nakuona rambaramba miguu kazini ili mradi mkono uende kinywani hata kama ni kwa aibu na fedhehaPinga pinga FC kazini.....
Nakuona rambaramba miguu kazini ili mradi mkono uende kinywani hata kama ni kwa aibu na fedhehaPinga pinga FC kazini.....
Shida yako kila Jambo huliingizia siasa koko za kimakundi....yaani hata katika masuala ya uzalendo wa kinchi wewe utanyoosha kidole tu kupinga....hivi wewe ni mmawia wa kutoka ng'ambo ya mto Ruvuma eeee?!!!Nakuona rambaramba miguu kazini ili mradi mkono uende kinywani hata kama ni kwa aibu na fedheha
Naunga mkono hoja. Kwanza, Tanzania ina historia ya ukombozi wa Afrika kwa kazi kubwa iliyofanywa na Mwalimu Nyerere, ndiyo maana pale Addis HQ ya AU, kuna sanamu ya Mwalimu kutambua mchango wake wa ukombozi, umoja wa Afrika na kutetea wanyonge.Kufuatia mapigano ya Tigray ya TPLF na vikosi vya serikali kuelekea kuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe wakati wowote kuanzia sasa, namshauri Rais Mstaafu Gen. Obasanjo ambaye ni mpatanishi wa mgogoro huo aishauri AU ihamishie Makao Makuu yake Tanzania kwa muda hadi pale amani itakaporejeshwa.
Hilo gaidi lenu limeshadhibitiwa tayari. Sasa hakuna ugaidi Tena.Kwahiyo Tanzania ndiyo hakuna ugaidi?
Tanzania ni kisiwa Cha amani
Hamza ana wasaidizi wake nasikia nawe ni mmojawapoHilo gaidi lenu limeshadhibitiwa tayari. Sasa hakuna ugaidi Tena.
😍😍Naunga mkono hoja. Kwanza, Tanzania ina historia ya ukombozi wa Afrika kwa kazi kubwa iliyofanywa na Mwalimu Nyerere, ndiyo maana pale Addis HQ ya AU, kuna sanamu ya Mwalimu kutambua mchango wake wa ukombozi, umoja wa Afrika na kutetea wanyonge.
Pili, Tanzania chini ya Mwalimu ni sehemu ya historia ya chimbuko la OAU na baadae AU. Huwezi kuzungumzia AU na kumuacha Mwalimu, Nkrumah. Hawa ni Wanamajumui halisi wa Afrika. Kwa hiyo historia inaibeba Tanzania, kuliko nchi yoyote ya Afrika.
Tatu, Tanzania ina usalama wa kutosha na amani yakweli kuliko nchi yoyote Afrika.
Amani ilshapotezwa na Awamu ya tano
Ni kweli na wakihamia Dodoma pako poa sana.hawatosumbuliwa .
Kwanza Amani,
Pili inafikika kirahisi.
Tatu nchi ina jitisheleza kwa mahitaji yote.
Kenya Kuna Alshabab
Tanzania Kuna ugaidiKufuatia mapigano ya Tigray ya TPLF na vikosi vya serikali kuelekea kuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe wakati wowote kuanzia sasa, namshauri Rais Mstaafu Gen. Obasanjo ambaye ni mpatanishi wa mgogoro huo aishauri AU ihamishie Makao Makuu yake Tanzania kwa muda hadi pale amani itakaporejeshwa.
Kenya alshabab wanawasumbua Hadi leo,hakuna amani ya uhakika.kwanza Kenya wanahistoria mbaya ya mauaji ya wao kwa wao,enz zile za uchaguzi.walishwahi kuzitwanga bungeni Mara kadhaa. AU ni lazma ikae mahali pa utulivu wa uhakika!Kwa nini Tanzania na siyo Kenya iliyo karibu na Ethiopia? Hebu eleza kwa kina kwa nini unaipendekeza Tanzania, au kwa vile wewe ni mkazi wa Tanzania hivyo unatumia ule msemo wa mwamba ngoma?
Mahakama haijathibitisha kama ni kweli kuna ughaidi au porojo tu, tuipe muda. Hicho kinachosemwa ni tuhuma tu (tuhuma za ughaidi) sasa tuhuma zinatakiwa kuthibitishwa na Mahakama.Tanzania Kuna ugaidi
kenya yenyewe ni spana mkononi, wameshindwa kuwalinda raia zao piaKwa nini Tanzania na siyo Kenya iliyo karibu na Ethiopia? Hebu eleza kwa kina kwa nini unaipendekeza Tanzania, au kwa vile wewe ni mkazi wa Tanzania hivyo unatumia ule msemo wa mwamba ngoma?
Vita ya wenyewe kwa wenyewe ilisababisha WHO mwaka 1997 kuhamishia kwa muda Makao yake Makuu ya Kanda ya Afrika toka Brazzaville Congo kwenda Harare Zimbabwe hadi mwaka 2001 iliporudi Brazzaville kwa awamu awamu.Haaaa sijawahi ona inakuwaje