mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,323
- 1,105
Kama una akaunti bank ambayo inatumia ATMs za UMOJA switch usizitegemee kabisaaa ATMs za UMOJA switch kwani zinaweza kukuangusha ukaonekana mswahili, ukaonekana ni muongo, ukakosa dili kama lilikuwa linahitaji pesa ya haraka, ukabaki unaduwaa ukakosa pesa ya kutumia kwa muda huo!! Bora ningeweka pesa zangu chumbani au nikaweka kwenye benki za ATMs nyingine kama NMB au CRDB manake kote huko nina akaunti...!! NIMEJUUUUUTA