''Umoja ni ushindi'' brand hii inajulikana mwenye nayo

DSN

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,837
1,674
Sasa ukisikia bidhaa nyingine imeibuka na slogan hiyo...ukiuziwa shamba na Copy ya Branda C wakati Brand B iliyojaribu kuwa Brand A ambayo ndiyo original hiyo A ndiyo Founder wa Brand zote B na C...kisha brand C akuaminisha kuwa anao ubora wa kukutengenezea vitu vya muasisi wa bidhaa inayokopiwa toka kwa A...basi utakuwa punguai sana kama utamwamini..

Watu wa masoko wanajua umuhimu wa brand....LG inajulikana i ''Good Life'' sasa ushangae eti Techno anakuja na slogan ya ''Good Life'' eeheeee afu mtu anakwambia kitu cha original dadakee....Full Fambaa...kama sio kufwambikwa...kanda ya ziwa tunasema ''Umeperembwa'' watoto wa mjini wanasema changa la macho...hivi inachukua bei gani kujiongeza ...

''Acha Waisome Namba'' ni moja ya maneno yanayopatikana kwenye nyimbo za brand A the Original Super Brand...Pamoja na kuwa ni maneo yanatumika kwenye nyakati za Uchaguzi lakini daima yanajulikana ni misemo ya Brand A..Yatumike katika nyakati chungu za vilio vya hakuna Pesa [kwangu nyakati njema za kujenga Taifa]..bado haibadirishi maana kuu kuwa hayo maneno ni slogan ya brand A japo yametumika nyakati sizo na zenye dhana tofauti zenye ujumbe tofauti na kusudio la utunzi wa Slogan...lakini aiondowi umilki wa slogan na kumfanya mwenye umilki huo kuvumilia [Kama anavyofanya sasa hivi invyotumika] kwa kuwa anakubali kuwa hizo ni changamoto na sehemu pia za brand yake kuzidi kuwafikia walengwa japo hata kama imefika kwa namna tofauti na kusudiwa.

Sasa ukiona Brand C inatambulishwa kwa Slogan ya Brand A na wewe unasema ni mteja loyal wa Brand C jua imekula kwako....
 
....we mong'oo,ulishindwa kuandika vitu ukaeleweka;
..ama ulitaka nawe uonekane mwanafalsafa
..uchwara!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom