Umoja ni nguvu: Wapinzani nchi hii bila kuungana wasahau kushika Dola

Wakati wa dhalimu Id hii na ya ritz zilipotea sana, na zozote sasa hivi zimerudi. Hazina muda Id hizi zitaanza kutetea uisilamu.

Sisi hatuwez kuitetea uislam,

Ukishakuwa Muislam,uislam ndiyo unakutetea,sina nguvu ya kuutetea uislam Mimi,

Nimezaliwa nimeukuta,Nina uishi uislam,nitakufa nitaucha uislam ukiendelea kushamir,

Muulizen mbowe,miaka hii 17 haitoshi kwa yeye kufikiria kuandaa succession plan ya chama??
 
Membe kwanini alinyimwa form kisha yule dhalimu magufuli kumfukuza chama? Yule binti Simba kwanini dhalimu magufuli alimfukuza chama? Alifuata vikao vya chama? Hao mamluki aliowanunua toka Chadema wengi hata mwaka hawa kumaliza kwanini walipewa teuzi badala ya wafia chama?

Kwan huko ndan ya chadema,Kuna uchaguz huru na WA haki??

Mwenyekiti wa Chama yuko madarakani mwaka wa 17 huu,unataka kusemaje Kuna demokrasia hapo??

Mnajichoresha sana
 
Waungane wanafanana mitazamo? Mpaka sasa ukiachia cdm na ACT, kuna chama kingine cha upinzani kimejitokeza kwa uwazi kudai hiyo katiba? Unalazimisha kuungana kisha kutokee kutokuelewana na kuishia kuchafuana? Ni hivi, anayetaka katiba aidai kivyake, cha muhimu ni kupata katiba mpya, kuungana ni agenda nyingine, na huko nyuma imefail.

Kwan lengo la kuungana ni kudai katiba mpya au kuitoa ccm madarakan??
 
Kama Chadema si wapinzani wa kweli umesikia chama kipi kingine kati ya act wasaliti, tlp, cheyo, shibuda wakiipigania katiba mpya? Unadhani ni kwanini wako kimya kudai katiba mpya?

Kwan lazima ujiunge na mrema au shibuda??

nyinyi shida yenu mnajiona nyinyi pekee ndiyo wapinzan nchi hi...
 
Kwan lazima ujiunge na mrema au shibuda??

nyinyi shida yenu mnajiona nyinyi pekee ndiyo wapinzan nchi hii..

Yaani hao walioondoka mbona ni wachache, ww mwenyewe uko ccm na bado watu wanaidai hiyo katiba mpya na bado inabamba kinoma. Cdm wanaidai watakavyo na hawajazuia chama chochote kuidai.

Au hivyo vyama vingine vimekaa mahali vinasubiri CHADEMA iwabembeleze waungane? Hapa naona unapigia debe ACT maana ni chama cha Zito unayemkubali. Mwambie Zito aunganishe hivyo vyama vingine vya upinzani waidai katiba, maana hakuna anayewazuia.

Ilitakiwa hivyo vyama vingine vya upinzani viwe vimeungana vinaidai hiyo katiba mpya, hapo ungesema bado cdm tu kuungana. Kumbe vingine vimelala unataka CHADEMA iviamshe vikadai katiba mpya.
 
Membe kwanini alinyimwa form kisha yule dhalimu magufuli kumfukuza chama? Yule binti Simba kwanini dhalimu magufuli alimfukuza chama? Alifuata vikao vya chama? Hao mamluki aliowanunua toka Chadema wengi hata mwaka hawa kumaliza kwanini walipewa teuzi badala ya wafia chama?

Unajichanganya Sana kudhani hapa unaongea na mwanaccm,

Mimi siyo mshamba wa kukaa nishabikie chama Cha siasa Cha aina yyte ile kama wewe,

Mimi kama nikitaka siasa lazima niingie ulingon na Nile manufaa ya hiyo siasa,na siyo niishie kufia zangu jela kama wewe mdude,au kumpotezwa kama Ben saa nane au alphonce mawazo,haya ni maisha na tunaish Mara MOJA tuh dunian hapa,

Usiwe fala ukachezeshwa ngoma usiyoijua na hawa ccm au chadema,

Jitambue
 
Kwan lazima ujiunge na mrema au shibuda??

nyinyi shida yenu mnajiona nyinyi pekee ndiyo wapinzan nchi hii...
Wapinzani unawaona wewe wako serious ni kina nani?

Mbatia mwaka jana anaenda Mbeya kuvuna wanchama wa CHADEMA, anapewa mpaka msafara wa polisi; ndio hao wa kuungana nao?

Zitto na chama chake pamoja na madhambi yote yaliyofanyika Zanzibar, leo wako serikali moja na Mwinyi; ndio hao wa kuungana nao?
 
Kwan lengo la kuungana ni kudai katiba mpya au kuitoa ccm madarakan??

Itoe cdm, weka nguvu zako kuunganisha hivyo vyama vingine na kiongozi wao awe ACT. Unasumbuliwa na nongwa ya cdm, wao cdm wameshajiunga huko nyuma, matokeo ya kujiunga huko wakajikuta wanachafuliwa tu.
 
Kama Chadema si wapinzani wa kweli umesikia chama kipi kingine kati ya act wasaliti, tlp, cheyo, shibuda wakiipigania katiba mpya? Unadhani ni kwanini wako kimya kudai katiba mpya?

Kwan kupigania katiba mpya ndiyo kipimo Cha usaliti au kutokuwa na usaliti??

na nyinyi chadema mnapoidai hiyo katiba mnaidai kwa kuwa Mnaumia kwa mapungufu yaliyomo kwenye hii katiba au mnaishupalia kwa kuwa mnaona inawakosesha opportunity ya kuingia madarakan??
 
Friends and Enemies,

Sikio la kufa haliskii dawa,tumekuwa wahanga wa siasa za majukwaani na mihemko kwa muda mrefu sana nchi hii tena zenye manufaa makubwa sana sana kimaslahi kwa wanasiasa...
waungane na kushirikiana kwa pamoja kudai tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, ili kuwasafishia njia na kuwarahisishia kushika dola kirahisi kabisa.
 
Itoe CHADEMA, weka nguvu zako kuunganisha hivyo vyama vingine na kiongozi wao awe ACT. Unasumbuliwa na nongwa ya cdm, wao cdm wameshajiunga huko nyuma, matokeo ya kujiunga huko wakajikuta wanachafuliwa tu.

Mimi nimewataja wapinzan,kwann mnaumia chadema pekeyenu??
 
Acha kujitoa ufahamu wewe. Mbona ushahidi wa usaliti wao uko wa kutosha tu kwa miaka mingi sasa? Kwa ufinyu wa akili yako huwezi kuelewa umuhimu mkubwa wa Katiba mpya. Kama utakuja kutia akili kichwani basi utaelewa tu.

Kwan kupigania katiba mpya ndiyo kipimo Cha usaliti au kutokuwa na usaliti??

na nyinyi chadema mnapoidai hiyo katiba mnaidai kwa kuwa Mnaumia kwa mapungufu yaliyomo kwenye hii katiba au mnaishupalia kwa kuwa mnaona inawakosesha opportunity ya kuingia madarakan??
 
Friends and Enemies,

Sikio la kufa haliskii dawa,tumekuwa wahanga wa siasa za majukwaani na mihemko kwa muda mrefu sana nchi hii tena zenye manufaa makubwa sana sana kimaslahi kwa wanasiasa,

Japo kama nchi tunahitaji chama cha siasa kituongoze hatuna jins kuendelea na siasa.

Ni ukweli ulio wazi kuwa wanasiasa wengi nchi hii ni wachumia tumbo,wachache Sana wenye uzalendo.

Hawa wapinzan tulionao hawataki kuambiwa ukweli kuwa umoja ni NGUVU, na bila kuungana wasahau kuiondoa CCM madarakani.

Ona wanachokifanya sasa hivi, badala ya kujikita katika kuungana na kutengeneza umoja wameanzisha harakati za kudai katiba mpya kwa makundi makundi, wanasahau kwanza kuungana na kudai hiyo katiba kwa umoja wao wameanza kudharauriana wenyewe kwa wenyewe, kwa style hiyo wataepuka vip hila za divide and rule?

Hawana misingi na mikakati thabiti, hawa ni waganga njaa tu.
Agenda no. 1 ya upinzani kwa mtazamo wangu si kuingia ikulu, bali kuhakikisha nchi inaongozwa kwa misingi ya kisheria. Agenda kuu ya kutawala ni ya CCM, ikiongozwa na hofu ya kushitakiwa pindi wakitoka madarakani kwa maovu wayatendayo.
 
Lengo kubwa la chama Cha siasa ni kuingia ikulu na kushika dola
 
I am telling you, bila kuungana ni kama mnatwanga maji kwenye kinu tu

..sheria ya vyama vya siasa imeweka masharti magumu sana kwa vyama vya siasa kuungana.

..nadhani unakumbuka jitihada zilizofanyika kuzuia ACT na CDM wasiungane, na wasifanye kampeni za pamoja, ktk uchaguzi wa 2020.

..pia naamini unafahamu kwamba Ukawa ilikuwa muungano wa vyama ambao ulikuwa hautambuliwi kisheria.

..zaidi umoja wa vyama vya siasa lengo lake kuu halitakiwi liwe kuiondoa CCM madarakani.

..Lengo la umoja linatakiwa liwe kuunganisha nguvu ktk kutetea maslahi ya wananchi ikiwemo haki zao za kiuchumi, kisiasa, na kijamii.

..Kwa sasa hivi inapendeza kuona vyama kadhaa vya siasa vinazungumzia KATIBA MPYA.

..Katika hili vyama vya siasa vinaweza kuratibu kampeni za pamoja kuwaelimisha wananchi kuhusu mapungufu ya katiba ya sasa hivi, na ubora wa katiba wanayopendekeza.

..Mwisho, sitashangaa kumuona Msajili wa vyama siasa akijitokeza kukemea na kukatisha tamaa juhudi zozote za vyama vya upinzani kufanya kazi pamoja. Na kukumbushia tu, Msajili wa vyama vya siasa, anateuliwa, na anawajibika kwa Raisi ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM.
 
Friends and Enemies,

Sikio la kufa haliskii dawa,tumekuwa wahanga wa siasa za majukwaani na mihemko kwa muda mrefu sana nchi hii tena zenye manufaa makubwa sana sana kimaslahi kwa wanasiasa,

Japo kama nchi tunahitaji chama cha siasa kituongoze hatuna jins kuendelea na siasa.

Ni ukweli ulio wazi kuwa wanasiasa wengi nchi hii ni wachumia tumbo,wachache Sana wenye uzalendo.

Hawa wapinzan tulionao hawataki kuambiwa ukweli kuwa umoja ni NGUVU, na bila kuungana wasahau kuiondoa CCM madarakani.

Ona wanachokifanya sasa hivi, badala ya kujikita katika kuungana na kutengeneza umoja wameanzisha harakati za kudai katiba mpya kwa makundi makundi, wanasahau kwanza kuungana na kudai hiyo katiba kwa umoja wao wameanza kudharauriana wenyewe kwa wenyewe, kwa style hiyo wataepuka vip hila za divide and rule?

Hawana misingi na mikakati thabiti, hawa ni waganga njaa tu.
Bahati mbaya sana ni kwamba ndani ya wapinzani wenyewe hawafanani so ni ngumu sana wao kuwa kitu kimoja.

Unakuta wengine wanaamini kwenye kutukana tu bila hoja kufafanuliwa kiundani zaidi na wengine wapo busy kujinafikisha kwa serikali sababu ni vibaraka.

Tunahitaji upinzani mpya ambao haujatokana na watu wenye affiliation ya CCM au CHADEMA maana vyama vyote vimetokea hapa ukiacha NCCR na CUF ambao wamejifia.
 
Mimi nimewataja wapinzan,kwann mnaumia chadema pekeyenu??

Tunakujua una nongwa na cdm. Kipindi cha dhalimu ulitulia dhidi ya Cdm, kwakuwa ndio chama haswa yule mtu muovu alikuwa anadeal nacho. Kwa maneno marahisi ulifura wao kufanyiwa, hapo hata ww hakukupa furaha. Udini utakulostisha dogo.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom