Umoja mpya wa Vijana CCM (UMVCCM) ulioasi UVCCM sasa kutikisa nchi, Kuja na 'CCM Halisi'

CCM haitasarambatishwa na harufu ya watolo,hawa sio waasi ni njaa tu,wanataka kuvaa mkanda wa uzito wa juu wakati mosquito weight yenyewe wanapwaya.Hawajamwaga mboga kwani hakuna sufuria ya mboga wala mboga yenyewe
Say you, say me; say it for always
That's the way it should be
Pay you, say me; say it together
Naturally ........................
 
Mkuu Ben achana na hawa watoto, naona unajitahidi kuwaelewesha hawaelewi wanaamua kuamisha mada iwe CCM na CDM,' mada ni CCM na CCM . Jibuni hoja acheni ushabiki,kuna msemo mmoja umenikumbusha mbali'' wanaume wote tunahonga ila tunatofautiana viwango'' au kila mbuzi hula kulingana na urefu wa kamba yake. Naona kamnba ya EL imekuwa ndefu zaidi. Swali kwa mr emmy; kwanini mwenyekiti anawaacha mvuruge chama kiasi hicho?

Hawa jamaa ni wepesi;wamekimbia hoja na hawajazoea kujibu ila mbele ya rushwa wanajenga hoja za dharura usipime!
 
Ngebe tupu hapa naona pumba tu....kama vp anzisheni chama chenu... hamuwezi fanya harakati kwenye chama linaloenda kufa soon mmepotea njia nyie
 
Vijana mafisadi waliozidiwa na wenzao.
-Siasa za ubaguzi na utoto ndiyo mapinduzi?
-Kama hayo mliyoandika hapo ndiyo malengo na mikakati ya ukombozi basi rudini darasani
-Vijana wa aina yenu ni janga.Hivi mlikua wapi kipindi cha DOWANS na RICHMOND?
-Mtatoa wapi hoja za kupambana na CHADEMA?Labda kama zipo bandarini......
-Acheni tamaa ya rushwa kama wazee wenu

Mkuu Ben
Kama hawaja kuelewa kwa aina ya maswali uliyo wauliza hawatakuelewa tena! Wao ni kichaka cha wanafiki kinachotafuta huruma za kukosa uongozi, wanafiki tu wasio kuwa na muelekeo.
 
Hizi ni ndoto za mchana, unless ianze na mabadiliko ya Katiba ya CCM, hasa ibara ya (129), sehemu ya (5) ambayo inasema kwamba:

Halmashauri Kuu ya CCM Taifa itakuwa na uwezo wa kushauri, kutoa maagizo ya jumla, na maelekezo maalum kwa Jumuiya zinazoongowa na CCM;

Kwa mujibu wa Katiba ya CCM, ibara ya (108), sehemu ya (10), kazi ya Halmashauri Kuu ya Taifa ni Pamoja na Kuandaa Katiba Kanuni na Kuweka Taratibu za Kuongoza Shughuli Mbalimbali za CCM.

Vinginevyo, mchakato wa uchaguzi wa ndani wa CCM pamoja na matokeo ya chaguzi hizo (including ngazi ya UV-CCM Taifa)[/COLOR], umetoa hitimisho moja tu kwamba: 'CCM IMEKATAA KUBADILIKA'
 
Hakuna lolote!! mimi naamini ndani ya ccm wote ni wachafu.hakuna hata mtu mmoja aliye msafi. tofauti yenu ni moja tu kwamba wengine ni mafisadi wa sasa na wengine ni mafiadi watarajiwa, wote wana jeuri sana. Wapenda maendeleo wa kweli wapo opposition, notably CHADEMA.huko ndio kwenye wasafi.
 
Naona hawa wanajiita wanaharakati hawajitambui kwakuwa wanatumiwa sana na mafisadi ndio maana ccm imekuwa namatabaka na inawafia wakiiona, hata mje na style ya vua Lowasa, vua ufisadi, etc hamuwezi maana ndio chama chenu kinaamini bila rushwa hamna ushindi.

Ushauri wangu tumieni "VUA KIJANI WAVAA GWANDA" itawasiaidia sana
 
leteni malalamiko yetu ndani ya vikao halali.vya chama. Hatujali haya mambo nje ya chama. chama chetu makini kina mfumo wa kushughulikia mambo. Hao mnaosema ni mafisadi hawajadhibitishwa, kama una udhitisho mlete ndani ya vikao halali wajadiliwe na siyo kuongelea nje ya vikao vya chama.
Majemedari wa Umoja mpya wa Vijana CCM (UMVCCM) sasa kutikisa nchi, katika harakati ya kukikomboa chama kutoka katika Mikono ya Mafisadi. Kwasasa mipango kabambe ya kukirudisha chama mikononi mwa Wakulima na Wafanyakazi inaendelea kufanywa na majemedari wa Vita ndani ya chama. Kwasasa tunakwenda kuanza na Kampeni ya Ondoa Mafisadi CCM (OMC) ambayo itahakikisha viongozi wote wacghafu ndani ya Chama wanatengwa na kundi la wana CCM wasafi wanaonga mkono vuguvugu jipya la mabadiliko ndani ya Chama.

Wananchi wameshakuwa na imani na vuguvugu la mabadiliko ndani ya chama litakalo ongozwa na UMVCCM kwani hatua moja kuu ambayo inakwenda kupigwa ni wana CCM mabadiliko ni pamoja;

1. Kuandaa katiba Mpya cha Chama cha mapinduzi - Halisi ambayo
2. Wanavuvugu kutohama chama bali kupigania mabadiliko ndani ya chama
3. Kuhamasisha wanachama na wasio wanachama kujiunga na vuguvugu la mabadiliko ili kuikumboa nchi inayoelekea kugawanywa vipande vipande na kundi la CCM Mafisadi na Chadema matapeli
4.kuweka mikakati madhubuti ya kuyakomboa majimbo yote yanashikilwa na CCM mafisadi na Chadema pamoja namjimbo mengine yanayoshikiliwa na upinzani
5.Kurudisha Imani ya wazanzibari wote na kukitikomeza kabisa chama cha Kiarabu CUF huko visiwani
6. Kuzima kwa nguvu ya hoja harakati zote za matepeli chadema na M4C

Note Harakati hizo zote zitafanywa na wanavuvugu na watanzania wote wapenda amani na maendeleo pasipo kuhama chama bali CCM Mafisadi watajitenga na kupisha wenyewe kulingana

Sasa kazi ndo kwanza inaanza

Mabadiliko mapya yanakwenda kukifanya chama cha mapinduzi kuwa halisi zaidi na kumjali mwananchi mnyonge.
 
Mabadiliko mapya yanakwenda kukifanya chama cha mapinduzi kuwa halisi zaidi na kumjali mwananchi mnyong

Hivi kwa akili yenu mnaweza kuwaondoa mafisadi ccm? kiongozi gani msafi huko ccm, kama hujui ngoja nikutaarifu mwenyekiti wa ccm J.M.KIKWETE aliongelea kuhusu rushwa ndani ya ccm na akashindwa kuchukua hatua kwa kuwa hawezi kushindana na mafisadi maana mwenyewe ni gamba tayari.
 
Hamna tofauti na sumaye anayepiga mawe nyumba ya vioo anayoipenda.
 
You UVCCM guys,,,,ni nani aliyewaroga,,,,kaeni mtafakari,,,,hata hivyo nawahamasisha mjitenge ili shimo lililo CCM liwe Korongo na ndo rahisi kuwang'oa madarakani.....

It was not Compulsory Makonda awe Makamu Mwenyekiti,,,acheni tamaa na ajenda mfu
 
Hawa vijana ni wanafiki.
huyu kiongozi wao emmy ni wa kuogopwa kama ukoma,sisi tunamwambia kila siku kuwa ccm ni jagwa katika nchi yetu walikataa baada ya vilioni 2 vyao kuliwa na kuambulia sifuri mbele ya mitandao ya mafisadi papa wanaanza kulalamika.

Rudini kwenye vibiashara vyenu kopeni tena muanze biashara upya ila muelewe ccm inatakiwa kuondolewa madarakani.
 
Majemedari wa Umoja mpya wa Vijana CCM (UMVCCM) sasa kutikisa nchi, katika harakati ya kukikomboa chama kutoka katika Mikono ya Mafisadi. Kwasasa mipango kabambe ya kukirudisha chama mikononi mwa Wakulima na Wafanyakazi inaendelea kufanywa na majemedari wa Vita ndani ya chama. Kwasasa tunakwenda kuanza na Kampeni ya Ondoa Mafisadi CCM (OMC) ambayo itahakikisha viongozi wote wacghafu ndani ya Chama wanatengwa na kundi la wana CCM wasafi wanaonga mkono vuguvugu jipya la mabadiliko ndani ya Chama.

Wananchi wameshakuwa na imani na vuguvugu la mabadiliko ndani ya chama litakalo ongozwa na UMVCCM kwani hatua moja kuu ambayo inakwenda kupigwa ni wana CCM mabadiliko ni pamoja;

1. Kuandaa katiba Mpya cha Chama cha mapinduzi - Halisi ambayo
2. Wanavuvugu kutohama chama bali kupigania mabadiliko ndani ya chama
3. Kuhamasisha wanachama na wasio wanachama kujiunga na vuguvugu la mabadiliko ili kuikumboa nchi inayoelekea kugawanywa vipande vipande na kundi la CCM Mafisadi na Chadema matapeli
4.kuweka mikakati madhubuti ya kuyakomboa majimbo yote yanashikilwa na CCM mafisadi na Chadema pamoja namjimbo mengine yanayoshikiliwa na upinzani
5.Kurudisha Imani ya wazanzibari wote na kukitikomeza kabisa chama cha Kiarabu CUF huko visiwani
6. Kuzima kwa nguvu ya hoja harakati zote za matepeli chadema na M4C

Note Harakati hizo zote zitafanywa na wanavuvugu na watanzania wote wapenda amani na maendeleo pasipo kuhama chama bali CCM Mafisadi watajitenga na kupisha wenyewe kulingana

Sasa kazi ndo kwanza inaanza

Mabadiliko mapya yanakwenda kukifanya chama cha mapinduzi kuwa halisi zaidi na kumjali mwananchi mnyong

Nyie msitake kutudanganya harakati zenu za kwenye makaratasi tu mbona hamtokei hata on TV mtangaze tuwaone na kuwajua au mnahasila maana nasikia nyie mlitulizwa pale dodoma, Nyie mkijifanya mnajua tutawafukuza mara moja kwenye chama tunajua nyinyi ni wapinzani wetu.
 
Watafunane tu, kama mgawanyiko utaanzia ndani kwanini wasiendelee kuigawanya pia na nchi hii!
 
Tuwaache wafu wazikane wenyewe ccm is already dead we are just waiting for funeral ceremonies in 2015
 
Back
Top Bottom