Umoja House kuna moto

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,006
2,667
Wakuu,

Nimepata taarifa toka kwa jamaa yupo jirani na jengo hili anadai Umoja House panawaka moto na zimamoto wameshawasili eneo la tukio.

Kama kuna aliye karibu zaidi atufahamishe zaidi
 
Ilikuwa ni zoezi la kukabiliana na hatari ya moto itokeapo.
Nilikuwa hapo
 
Back
Top Bottom