Ummy: Wanafunzi wote waende likizo mwezi Desemba, masoma ya ziada no

Nilikuwa nikifunga shule miaka ya 90 sishiki Kitabu mpaka nirudi tena Secondary. Na bado nilipata Devision 1. Siku hizi wanatulazimisha Wazazi tukague Homework wakati tumetoka viti virefu...
Kazi kwelikweli,Hata mimi siamini sana kwenye Tuition
 
Nilikuwa nikifunga shule miaka ya 90 sishiki Kitabu mpaka nirudi tena Secondary. Na bado nilipata Devision 1. Siku hizi wanatulazimisha Wazazi tukague Homework wakati tumetoka viti virefu...

Na kweli siku hizi wanazingua mm likizo time ndio ulikua muda wa kwenda Tanga pale barabara ya 1 kulikua na project kwaajili ya wanafunzi,naenda pale kushindana debate na naenda kusoma computer. Kuna watu kwa kufuata haya masomo ya ziada unafika chuo mtu lugha hajui na computer hajui n.k,akimaliza ndio majanga zaidi sokoni haajiriki
 
Wewe unaamini katika masomo ya ziada?
Wangefanya kazi zao katika muda muafaka hayo masomo yasingehitajika ila sababu kazi hio haifanyiki unategemea nini ?

Kwahio busara badala ya kupiga marufuku uziada busara ni kuhakikisha hakuna hitaji la ziada..., mengine ni Siasa tu...
 
shule zote au za serekali tu ? dakika ya ngapi kaongelea hilo nimeshindwa kutizama video yote ni ndefu
 
Back
Top Bottom