Ummy Mwalimu ndio kinara wa siasa za Tanga akifuatiwa na Aweso kisha January. MwanaFA bado mchanga

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,875
141,809
Naelezwa hapa kwamba siasa za Tanga zimeshika kasi baada ya Ummy Mwalimu kubeba mikoba ya akina Mwantumu Mahiza, Aisha Kigoda na Beatrice Shelukindi so Da Ummy anakimbiza kweli kweli na ndio kipenzi cha Tanga nzima.

Naelezwa hapa stendi kuu kuwa Awesu anaonekana kana kwamba ndio namba 2 na January akifuatia kwa kasi.

Nilipomuulizia mwanaFA nimeambiwa bado ni mchanga kwenye siasa na hawafikii akina Shangazi ila anajitahidi kwa kiasi chake.

Kumbe Da Ummy ni mbunge wa mkoa kama alivyokuwa Sugu kule Mbeya au ni Wizara inambeba?!!!
 
Back
Top Bottom