Ummy Mwalimu na Magufuli awamu ya Tano imeua sekta ya afya mmebaki kuzindua majengo yasiyo na vifaa, wataalam, wala madawa. Mnaua wananchi

Nimeandika kitu ambacho ninaushahidi nacho kcmc ni teaching hospital ya chuo cha kcmc kwa ushahidi ingia kwenye web yao bugando ni teaching hospital ya cuhas ingia web ya cuhas sijakurupuka kuandika
Je zimesajiliwa kwa jina hilo? Au zimesajiliwa kama hospital zenye vyuo,kabongo bongo ni yes lakin international sio kweli,
Cheki teaching hospital ya KIU kampas ya Uganda na Nairobi university
Screenshot_20200119-152549.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama ni kweli unachokisema mtoa Nada maana hayo yote uliyo yaeleza yalikuwa hivyo hivyo awamu ya tatu hadi ya tano,so kuwahusisha waziri na rais in kuwasingizia,nadhani labda ungeandika kuna maboresho ya hayo uliyoyaeleza hapa,tofauti na hapo ni porojo za mitandaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tubadilishe mfumo wa maisha hasa kwenye kula vitu vya asili, matunda nk, tuache kukaanga kila kitu kwa mafuta deep fry, miili yetu itakaa sawa kuhusu magonjwa, tusisahau pia mazoezi... Hospitali iwe ajali tu.
Hii nchi kila kitu kikiwa 100% Haitakalika[mwenye akili atanielewa]
 
Huyu ndiye Mhe UMMY MWALIMU
Waziri mwenye dhamana na wizara ya Afya ANAMANENO MENGI LAKINI UTENDAJI WAKE NI HAFIFU

Mhe Waziri
ZIKO WAPI PESA ZA DAWA ZA WATOTO CHINI YA MIAKA (5)?
Mbona wakilazwa hospitarini wanalipishwa ghalama za vitanda na baadhi ya huduma wanapaswa kuchangia wakati huduma hizo wanapaswa kupewa bule?

Mhe Waziri
ZIKO WAPI PESA ZA MADAWA ZA WANAWAKE WAJAWAZITO?
Mbona wanalazimishwa kwenda na vifaa vyao vyakujifungulia hospitarini wakati huduma hizo wanapaswa kupewa bule?

Mhe Waziri
ZIKO WAPI PESA ZA DAWA ZA WAZEE WA KUANZIA MIAKA (60)?
Mbona wanatozwa pesa hata wakiwa na barua za msamaha?

Mhe Waziri
NIKWANINI BODI ZA HOSPITARI HAWAFANYI UCHAGUZI KAMA MWONGOZO WA WIZARA YA AFYA UNAVOELEKEZA?
Badala yake inatumika Siasa kiongozi flani anamchukua ndugu yake au hawala yake na kumuingiza ktk Bodi hiyo ya dhahanati

Mhe Waziri
Je! HUKU NI KUWATENDEA HAKI WATANZANIA AU NIKUWADHULUMU HAKI ZAO?

Mhe Waziri
Hii inaonyesha wazi kuwa WAZIRI mwenye dhamana na Wizara ya Afya ameshindwa kuwajibika ipasavyo na kusimamia vyema mpango na sera ya Taifa kuhusu maswala ya Afya

Nini maoni yako kuhusu Mpango wa sera ya Afya!

Tukutane kwenye mjadara
Mmm unaishi wapi? Huku kwetu kila kitu ulichotaja kipo bien kabisa. Safi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu anaitwa doto pale hazina ndo analeta siasa na sekta ya afya , amekuwa kikwazo katika utoaji wa fund, anafikiri kila kitu ni biashara. Afya ni huduma kwa watanzania, hakuna biashara kwenye mnyororo wa huduma za afya kiserikali, anamwangusha mheshimiwa sana
 
Uyo doto ana mamlaka kiasi gani? hakuna wakubwa zaidi yake uko serikalini?
 
Wamama wajawazito wanalipishwa ela nasikia bima ya Afya ya uzazi haipo tena.
Huduma za Afya bora ndo kila kitu ili kujenga taifa imala.
Kwa kuwa taifa halina kipaumbele ela zote tumezihamishia angani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na huko angani kwenyewe ela inazidi kuyeyuka kutokana na mvua zinazoendelea na upepo mkali. Kizaazaa ni pale mama mjamzito anapo jitafutia usafiri wa kumuwahisha hospitalini kwa ajili ya kujifungua na kukuta daraja limesombwa na maji hakuna mawasiliano na bado ela inaruka angani. Hii ni zaidi ya hatari.
 
Huyu ndiye Mhe UMMY MWALIMU
Waziri mwenye dhamana na wizara ya Afya ANAMANENO MENGI LAKINI UTENDAJI WAKE NI HAFIFU

Mhe Waziri
ZIKO WAPI PESA ZA DAWA ZA WATOTO CHINI YA MIAKA (5)?
Mbona wakilazwa hospitarini wanalipishwa ghalama za vitanda na baadhi ya huduma wanapaswa kuchangia wakati huduma hizo wanapaswa kupewa bule?

Mhe Waziri
ZIKO WAPI PESA ZA MADAWA ZA WANAWAKE WAJAWAZITO?
Mbona wanalazimishwa kwenda na vifaa vyao vyakujifungulia hospitarini wakati huduma hizo wanapaswa kupewa bule?

Mhe Waziri
ZIKO WAPI PESA ZA DAWA ZA WAZEE WA KUANZIA MIAKA (60)?
Mbona wanatozwa pesa hata wakiwa na barua za msamaha?

Mhe Waziri
NIKWANINI BODI ZA HOSPITARI HAWAFANYI UCHAGUZI KAMA MWONGOZO WA WIZARA YA AFYA UNAVOELEKEZA?
Badala yake inatumika Siasa kiongozi flani anamchukua ndugu yake au hawala yake na kumuingiza ktk Bodi hiyo ya dhahanati

Mhe Waziri
Je! HUKU NI KUWATENDEA HAKI WATANZANIA AU NIKUWADHULUMU HAKI ZAO?

Mhe Waziri
Hii inaonyesha wazi kuwa WAZIRI mwenye dhamana na Wizara ya Afya ameshindwa kuwajibika ipasavyo na kusimamia vyema mpango na sera ya Taifa kuhusu maswala ya Afya

Nini maoni yako kuhusu Mpango wa sera ya Afya!

Tukutane kwenye mjadara

Mjomba, Uteuzi wa bodi za kisheria upo mwongozo kabisa mfano mamlaka ya serikali za mitaa huwa kuna matangazo na kuweka sifa na watu wanatuma maombi na baadae vya kugombea. Wanachaguliwa kulingana na vigezo husika. Wengine kwenye hizi hospitali kubwa wanateuliwa na mamlaka mbalimbali kuanzia Mh Rais hadi waziri mwenye dhamana.
 
Huyu ndiye Mhe UMMY MWALIMU
Waziri mwenye dhamana na wizara ya Afya ANAMANENO MENGI LAKINI UTENDAJI WAKE NI HAFIFU

Mhe Waziri
ZIKO WAPI PESA ZA DAWA ZA WATOTO CHINI YA MIAKA (5)?
Mbona wakilazwa hospitarini wanalipishwa ghalama za vitanda na baadhi ya huduma wanapaswa kuchangia wakati huduma hizo wanapaswa kupewa bule?

Mhe Waziri
ZIKO WAPI PESA ZA MADAWA ZA WANAWAKE WAJAWAZITO?
Mbona wanalazimishwa kwenda na vifaa vyao vyakujifungulia hospitarini wakati huduma hizo wanapaswa kupewa bule?

Mhe Waziri
ZIKO WAPI PESA ZA DAWA ZA WAZEE WA KUANZIA MIAKA (60)?
Mbona wanatozwa pesa hata wakiwa na barua za msamaha?

Mhe Waziri
NIKWANINI BODI ZA HOSPITARI HAWAFANYI UCHAGUZI KAMA MWONGOZO WA WIZARA YA AFYA UNAVOELEKEZA?
Badala yake inatumika Siasa kiongozi flani anamchukua ndugu yake au hawala yake na kumuingiza ktk Bodi hiyo ya dhahanati

Mhe Waziri
Je! HUKU NI KUWATENDEA HAKI WATANZANIA AU NIKUWADHULUMU HAKI ZAO?

Mhe Waziri
Hii inaonyesha wazi kuwa WAZIRI mwenye dhamana na Wizara ya Afya ameshindwa kuwajibika ipasavyo na kusimamia vyema mpango na sera ya Taifa kuhusu maswala ya Afya

Nini maoni yako kuhusu Mpango wa sera ya Afya!

Tukutane kwenye mjadara

Mjimba unafail wapi kaka, mbona kama umekurupushwa kuandika hii thread bila uelewa wa kutosha, mfano Dawa zipo vituoni kwa asilimia 80 na wagonjwa wa msamaha wanaendelea kupewa dawa kulingana na uwepo wake vituoni. Serikali inasisitiza tufuate suala la Rufaa kutoka ngazi moja kwenda ngazi nyingine usipofuata utaratibu ukaruka lazima utalazimika kujilipia.

Hivyo wananchi wanaoanzia vituo vya msingi na kufuata utaratibu msamaha hutolewa kwa makundi yote ya kisera.
 
Huyu ndiye Mhe UMMY MWALIMU
Waziri mwenye dhamana na wizara ya Afya ANAMANENO MENGI LAKINI UTENDAJI WAKE NI HAFIFU

Mhe Waziri
ZIKO WAPI PESA ZA DAWA ZA WATOTO CHINI YA MIAKA (5)?
Mbona wakilazwa hospitarini wanalipishwa ghalama za vitanda na baadhi ya huduma wanapaswa kuchangia wakati huduma hizo wanapaswa kupewa bule?

Mhe Waziri
ZIKO WAPI PESA ZA MADAWA ZA WANAWAKE WAJAWAZITO?
Mbona wanalazimishwa kwenda na vifaa vyao vyakujifungulia hospitarini wakati huduma hizo wanapaswa kupewa bule?

Mhe Waziri
ZIKO WAPI PESA ZA DAWA ZA WAZEE WA KUANZIA MIAKA (60)?
Mbona wanatozwa pesa hata wakiwa na barua za msamaha?

Mhe Waziri
NIKWANINI BODI ZA HOSPITARI HAWAFANYI UCHAGUZI KAMA MWONGOZO WA WIZARA YA AFYA UNAVOELEKEZA?
Badala yake inatumika Siasa kiongozi flani anamchukua ndugu yake au hawala yake na kumuingiza ktk Bodi hiyo ya dhahanati

Mhe Waziri
Je! HUKU NI KUWATENDEA HAKI WATANZANIA AU NIKUWADHULUMU HAKI ZAO?

Mhe Waziri
Hii inaonyesha wazi kuwa WAZIRI mwenye dhamana na Wizara ya Afya ameshindwa kuwajibika ipasavyo na kusimamia vyema mpango na sera ya Taifa kuhusu maswala ya Afya

Nini maoni yako kuhusu Mpango wa sera ya Afya!

Tukutane kwenye mjadara
Mkuu , hebu taja nin kituo gani hiko Cha afya kinachowatoza wagonjwa (under 5yrs na wanawazito)!???
 
Ujumbe mzito sana huu, hela za madawa ya watoto, wajawazito na wazee zimeenda kununua ndege.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wanasema serikali ya Magufuli INA uhakika wa 2020.
Hilo la Watoto, Wajawazito na Wazee ni agenda tosha kabisa ya kuiondoa madarakani kwenye uchaguzi ulio huru na haki.
Kila familia ina tatizo la matibabu ya watoto, Hakuna familia hawazaani hivyo wajawazito wapo na nani kwao hana mzigo wa matibabu ya wazee?
Kwa hili tuu hata uwaeleze mke mjamzito alikufa ili ununue ndege naomba kura! Utajuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ndiye Mhe UMMY MWALIMU
Waziri mwenye dhamana na wizara ya Afya ANAMANENO MENGI LAKINI UTENDAJI WAKE NI HAFIFU

Mhe Waziri
ZIKO WAPI PESA ZA DAWA ZA WATOTO CHINI YA MIAKA (5)?
Mbona wakilazwa hospitarini wanalipishwa ghalama za vitanda na baadhi ya huduma wanapaswa kuchangia wakati huduma hizo wanapaswa kupewa bule?

Mhe Waziri
ZIKO WAPI PESA ZA MADAWA ZA WANAWAKE WAJAWAZITO?
Mbona wanalazimishwa kwenda na vifaa vyao vyakujifungulia hospitarini wakati huduma hizo wanapaswa kupewa bule?

Mhe Waziri
ZIKO WAPI PESA ZA DAWA ZA WAZEE WA KUANZIA MIAKA (60)?
Mbona wanatozwa pesa hata wakiwa na barua za msamaha?

Mhe Waziri
NIKWANINI BODI ZA HOSPITARI HAWAFANYI UCHAGUZI KAMA MWONGOZO WA WIZARA YA AFYA UNAVOELEKEZA?
Badala yake inatumika Siasa kiongozi flani anamchukua ndugu yake au hawala yake na kumuingiza ktk Bodi hiyo ya dhahanati

Mhe Waziri
Je! HUKU NI KUWATENDEA HAKI WATANZANIA AU NIKUWADHULUMU HAKI ZAO?

Mhe Waziri
Hii inaonyesha wazi kuwa WAZIRI mwenye dhamana na Wizara ya Afya ameshindwa kuwajibika ipasavyo na kusimamia vyema mpango na sera ya Taifa kuhusu maswala ya Afya

Nini maoni yako kuhusu Mpango wa sera ya Afya!

Tukutane kwenye mjadara

Kama huna fact uliza. Nchi kwa sasa imepiga hatua kubwa sana na Maboresho Sekta ya Afya imechangia Tanzania kuwa na watalaam wengi na vifaa vya kutosha. Uliza kifaa gani na watalaam wangapi upewe na takwimu.

Pia; Dawa zipo kwa vituoni zipo kwa asilimia 80 na wagonjwa wa msamaha wanaendelea kupewa dawa kulingana na uwepo wao vituoni. Serikali inasisitiza tufuate suala la Rufaa kutoka ngazi moja kwenda ngazi nyingine usipofuata utaratibu ukaruka lazima utalazimika kujilipia.

Back
Top Bottom