samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,174
Waziri huwa ni bosi wa wizara na ni sehemu ya think tank ya wizara, Wizara ina organs zake ambazo zinawatu waliosoma na wameajiriwa kwa kila kazi ili kwa pamoja kumsaidia waziri kwenda mbele... Maamuzi haya inamaanisha watu wote wamefikiri na kufikia mwisho na kutoa hayo maamuzi...
Hayo ni maamuzi ya Kijinga na sio mzizi wa hilo Tatizo...wafikiri upya kupata majibu sahihi ya tatizo...ili utatue tatizo lazima uende kwenye mzee baada ya research ya uhakika na data za uhakika..
Hayo ni maamuzi ya Kijinga na sio mzizi wa hilo Tatizo...wafikiri upya kupata majibu sahihi ya tatizo...ili utatue tatizo lazima uende kwenye mzee baada ya research ya uhakika na data za uhakika..