Ummanyire juma mukambi

masharubu

Senior Member
May 5, 2010
155
10
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Surely we belong to Allah and to Him shall we returnMarehemu Juma Mkambi (wa kwanza shoto waliochuchumaa) akiwa na
kikosi cha Yanga wakati wa fainali za Super Cup mwaka 1981.


MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA PEPONI KAKA YETU JUMA MKAMBI, NAKUMBUKA KULIKUA NA UTANI UKISEMA'' UMMANYIRE JUMA MUKAMBI, HE PLAY THREE POSITION PER TIME AGENDA ININE, AGENDA IEIGHT, AGENDA ITEN HRAFU A GOLI, WADAU MTANIREKEBISHA HIYO LUGHA INFWAKTI SIIFWAHAMU VIZURI NI YA KINA ARIFONSI NA KOKUBEZA WALIKUA WAKISIFIA UCHEZAJI WA MKAMBI KWAMBA UNMJUA JUMA MKAMBI, TWENDE UKAMUONE ANACHEZA NAFASI TATU KWA MUDA MMOJA, ANAKWENDA 8, ANAKWENDA 9, ANAKWENDA KUMI NA HATIMAYE GOLI​
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom