Umma ujiandae. Lengai Ole Sabaya anaenda kuwa huru au kutumikia kifungo laini

Kama ambavyo

Mashehe wa uamsho walivyotolewa.

Babu seya kulamba msamaha(anzi za magu).

Mdude kuachiwa(kushinda kesi).

Mbowe na wenzake mahakama kuamuru warejeshewe mamilioni.

Singasinga.

Bila shaka yoyote wewe kama mwanamchi wa kawaida jiandae kisaikolojia ya kwamba Aliye kuwa mkuu wa wilaya ya hai atatumikia adhabu ndogo sana ukilinganiaha na tuhuma lukuki zilizokuwa zinamkabili.

Rejea mwenendo wa kesi utapata mwanga wa hiki nikisemacho.
Kamfukuwe.....
 
Nyie mtoeni muone...
Utajisikiaje akitolewa na akapigwa ubalozi sijui mtamuonea wapi? Mambo mengine ni kuchezea sharubu ya Simba.

Let's play fairly, haina haja ya kujimwambafai, mwenye madaraka aliamua hakuna mtu atainua vindevu vyake vya balehe.
 
Rais aliamua aisee mambo yatabadilika na kelele hizi zitakuwa ni kucheleweshana kimaendeleo kama tulivyopotezewa muda wa miaka mitano iliyopita.

Dawa ni kutulia na kutafuta njia sahihi hii matusi na vurugu Wala haina faida tutapotezeana muda tu. Tunahitaji upinzani uipush serikali Ila sio kusumbuana halafu ionekane wasumbufu ilimradi CCM iendeleze uhuni wake.
 
Sabaya hana kosa ni uzandiki na fitima tu za watu wabobezi wa dhuluma hadi kufikiri dhuluma ndio haki. Unakuta mtu anatoa povu kuhusu sabaya. Ukimwambia aseme kosa la sabaya utasikia kampigilia mtu misumari miguuni. Ukimuuliza huyo mtu kafanya nini hadi apigiliwe misumari utaona anabaki kimya. Mengine ni wivu tu wa vijana wenzake.
ww umekua mahakama?
 
Kwahiyo kumpigilia mtu misumari kwa sababu yeyote ile ni sahihi?
 
Hata wakitisha mashahidi haiwezekani ashinde hizo kesi labda walipe madeni yote kufamilia na fidia....hapo sawa...m
 
Huyo Ngedera aliye tesa watu huko hai hata akitoka leo inatosha kwa walio umizwa naye sumu ya maumivu imewatoka na atakuwa amejifunza kuacha uhuni
Naona umeamua kujitoa mapema, hii reply ni ya kukubali kitakachotokea 😂 Ahahahaaaa...
 
Ole Sabahi atauliwa mchana kweupe,ni afadhali afungwe miaka 30 ili hasira za wa-chaga zipungue kidogo
 
Kama ambavyo

Mashehe wa uamsho walivyotolewa.

Babu seya kulamba msamaha(anzi za magu).

Mdude kuachiwa(kushinda kesi).

Mbowe na wenzake mahakama kuamuru warejeshewe mamilioni.

Singasinga.

Bila shaka yoyote wewe kama mwanamchi wa kawaida jiandae kisaikolojia ya kwamba Aliye kuwa mkuu wa wilaya ya hai atatumikia adhabu ndogo sana ukilinganiaha na tuhuma lukuki zilizokuwa zinamkabili.

Rejea mwenendo wa kesi utapata mwanga wa hiki nikisemacho.
Waambie pia kuna sanamu ya mwamba JPM inajengwa, wakipita wataiangalia tu...
 
Kama ambavyo

Mashehe wa uamsho walivyotolewa.

Babu seya kulamba msamaha(anzi za magu).

Mdude kuachiwa(kushinda kesi).

Mbowe na wenzake mahakama kuamuru warejeshewe mamilioni.

Singasinga.

Bila shaka yoyote wewe kama mwanamchi wa kawaida jiandae kisaikolojia ya kwamba Aliye kuwa mkuu wa wilaya ya hai atatumikia adhabu ndogo sana ukilinganiaha na tuhuma lukuki zilizokuwa zinamkabili.

Rejea mwenendo wa kesi utapata mwanga wa hiki nikisemacho.
Vipi adhabu ni ndogo au kubwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom