Asante
JF-Expert Member
- Dec 18, 2009
- 2,084
- 1,076
Ndugu zangu wakulima,
Umezuka ugonjwa mbaya unashambulia mimea ya mahindi kwa kasi sana,
ugonjwa huu uta waathiri sana wakulima wa mahindi mkoa wa Rukwa iwapo haitadhibitiwa mapema.
Dawa ya hawa wadudu inaitwa Multi-Alfa Plus 150 EC
Inapatikana kwenye maduka ya Tanganyika Farmers Association (TFA)