Umezaliwa 80 na early 90 kama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umezaliwa 80 na early 90 kama

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Good Guy, Jul 11, 2012.

 1. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  -Ulikunywa soda za Vimto
  -Ulikua unafanyia hesabu kwa visoda
  -Unajua uhusiano uliopo kata ya KANDA ya redio na KALAM ya kuandikia
  -Furaha yenu ilikua ni kucheza kombolela
  -ulishawahi ku2mia noti ya sh 50...
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  ulishaazima soda dukani kwa mangi upigie picha!
   
 3. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ushawahi kupeleka kopo la mbolea shule
   
 4. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  -ushawahi kutumia vocha ya Buzz
  -Ushawahi kucheza kamali kwa picha za wacheza mpira
   
 5. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ulipenda kucheza nyimbo za Bongo man
   
 6. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  -Ulishapanga foleni kulipia malipo yako ya TTCL mwisho wa mwezi
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  hebu wale wenzangu wa 60s na sisi tujikumbushe.....
   
 8. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  -unakumbuka katuni ya kadada kalikatazwa kwenda shule kaolewe kakatengeneza jiko zawadi ya baba ake mkubwa na kijiji Lmafo
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  mmmmmmmmmmmh naona hapa hapanihusu hapa.... :flypig:
   
 10. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  mmh kumbe kauli hizi "majeshi ya Nyerere yanapita" ulishawahi zisikia
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  yah...vita dhidi ya nduli nilishiriki....we ulimng'oa nduli wewe....?
   
 12. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  sim yako ya kwanza ya mkononi ni Mobitel au siemens ya mkonga
   
 13. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Ulitumia kipimo cha kushika sikio kama kigezo cha kuandikishwa darasa la kwanza.
   
 14. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #14
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Ulichungulia dirishani kwa watu kuangalia video
   
 15. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Umewahi kutoroka kwenu kwenda airport kuangalia ndege.
   
 16. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #16
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Umewahi kuvaa chupi za VIP
   
 17. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kwenye hii sikuwahi nyingine zote nimepitia nakumbuka kombe la dunia la mwaka 1998 tulikuwa tunanunua jojo tunapata picha za wachezaji tunabandika kwenye daftari maalumu la picha wachezaji waliokuwa kwenye chati ni RONALDO DE LIMA,J.J OKOCHA,ZIDANE ,DANIEL Omokachi..BARTEZ we acha tu raha kwa kwenda mbele stress nyuma
   
 18. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Umewahi kuikuta chupi yako ya VIP imefika shingoni ukiwa unasakata chandimu.
   
 19. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Umewahi kuweka kioo chini ya sketi ya kishtobe uone chupi.
   
 20. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #20
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  double mmhh! Nope ckushiriki huko asee
   
Loading...