Umeyasikia ya Tatu Ntimizi?

WAZIRI MKUU ALIEMUOA ANNA.....
YOU MEAN KAWAWA SIO??????NA ANNA NI ANNA ABDALLAH SIO?????

AMBAE LATER ALIOLEWA NA MSEKWA SIO??????

HAHA HA NILIWAHI ULIZA HAPA HII CCM FAMILLY TREE IKOJE???????
SIKUJIBIWA.....

Mkuu Boss inaweza kuwa Family Tree ya CCM ni ya ajabu ajabu kama inavyoonekana,lakini kwa kuweka mambo sawa,Hayati Kawawa hakuwahi kumuoa Mama Anna Abdallah,pamoja na kwamba wana mtoto pamoja.Waziri Mkuu anayezungumziwa hapa ni Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Mtera aliyeshindwa.
 
...........................Tatu Abdalah alikuwa mwendesha mashtaka wa polisi na kati ya kesi alizowahi kusimamia ni ile kesi maarufu ya uhaini.....,baadaye alikuja kuteuliwa mkuu wa wilaya..na ni kipindi hicho pia alikuwa anatoka na waziri mkuu....wa wakati huo.....hilo halina ubishi hata kwenye hansard record zipo......."....kuna siku bungeni akiwa naibu waziri na baada ya waziri mkuu huyo kuwa amemuoa ANNA.....alipanda kujibu swali...the weddin had just ended ..alipoenda tu pale kwenye podium wabunge na mawaziri wenzake wakaanza kumcheka....kwa kuwa hakuolewa yeye...akajibu,"nilishaachia ngazi !!"

....sijui kuhusu utendaji wake kwa ujumla..na hatuwezi kuhusisha mahusiano na haki zake za msingi za kujamiiana....ila pale ardhi alikuwa akitumiwa sana na madalali wa viwanja......,anatamaa ya pesa ndogo ndogo!!...huyo mtoto wake ambaye ni mwenyekiti wa jumuia [alimshinda luoha kwa margin ndogo ]hapa dar......ni mfanyabiashara wa ajabu ajabu na anazo tuhuma nyingi za kuuza magari ya wizi ....na powder........naweza kuamini tuhuma za wana Ihagula....ambapo pia mama yake alikuwa anafikiria kumuachia jimbo!!!

.....taratibu Mkuu............
 
Mkuu Boss inaweza kuwa Family Tree ya CCM ni ya ajabu ajabu kama inavyoonekana,lakini kwa kuweka mambo sawa,Hayati Kawawa hakuwahi kumuoa Mama Anna Abdallah,pamoja na kwamba wana mtoto pamoja.Waziri Mkuu anayezungumziwa hapa ni Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Mtera aliyeshindwa.


SASA UMEONA HAPO HIYO FAMILY TREE?
I MEAN BABA KAWAWA,MAMA MZAZI ANNA ABDALLAH.BABA WA KAMBO MSEKWA....
MAMA WA KAMBO ANNA KILANGO,BABA WA KAMBO MWINGINE MALECELA...

HIVI HUYO MTOTO AKIJA GOMBEA UONGOZI
ITAKUWAJE?????
ATACHUJWA KWELI?????????????
 
kuna mkuu hapo juu anasema eti viongozi kama hawa wanaichafua serikali. Nimeshangazwa sana. Unawezaje kuchafua kitu kichafu??? Uko wapi Usafi wa hii serikali ndo ichafuliwe?
 
WAZIRI MKUU ALIEMUOA ANNA.....
YOU MEAN KAWAWA SIO??????NA ANNA NI ANNA ABDALLAH SIO?????

AMBAE LATER ALIOLEWA NA MSEKWA SIO??????

HAHA HA NILIWAHI ULIZA HAPA HII CCM FAMILLY TREE IKOJE???????
SIKUJIBIWA.....

....that anna abby was shared between kawawa and msekwa who took it home for himself.....here i mean another anna how fought out tatu and the like of sophia and take Mzee for himself!!!.....
 
Kama kweli Tatu Ntimizi aliweza kuyafanya hayo yote yanayosemwa na hasa hili la "kumlazimisha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Tabora Vijijini kumpatia mwanaye Musa Ntimizi kazi za ukandarasi wa majengo na madaraja"... inatisha sana! Ina maana serikali huko ni kaput kabisa... hakuna utawala bora hata kidogo.

Je vyombo vya dola vyenye kusimamia haya maswala ikiwemo TAKUKURU wamelala usingizi wa pono au wanamuogopa huyu mama kiasi gani? SHE MUST BE VERY POWERFUL THEN, WHICH I DONT WANT TO BELIEVE!

NADHANI mwenye tatizo siyo Tatu Ntimizi bali mfumo mzima ( if at all shutuma hizi ni za kweli).

Nakubaliana na wewe.

Hapa tatizo siyo Tatu Ntimizi bali ni mfumo mzima na hasa huyo Mkurugenzi Mtendaji ambaye anatoa kazi kwa watu wasiokuwa na sifa kwa sababu tu ya kufurahisha au kusukumwa na watu. Mimi nadhani wa kwanza kumshughulikia inabidi awe ni huyo Mkurugenzi.
 
Wee Dada, kwa nini hukusoma mstari wote? Halafu hapohapo unalalamika kuwa tunashambulia wanawake. Ungelisoma ungelielewa sikugusia kabisa HABARI za Getrude Mongela. Nilichoandika ni kuwa sikufahamu jina la Mongela kwa Kisukuma linaitwa IVONGELA. Topic gani dada zangu waliongelea juu yake nikaandika SIKUMBUKI. Sasa haya unayoandika wewe kuwa ninakuboa, ninakuboa nini? Acha kukurupuka.
Baadaye Wakamuongelea na Getrude Mongela ila wakasema jina la Getrude Ivongela?! Topic sikumbuki.

Sikonge, na Gertrude Mongella pia naye alipendelewa kwa vyeo vyote hivyo alivopata? Hamuwachi nyinyi!

Hatua nyengine basi muanze ku"declare" kwamba wanawake wote hawana akili na ni lazima wapewe upendeleo maalumu ndio waweze kufanikiwa.

Aah! munaniboa nyinyi wakati tulikuwa tunawapita nyinyi akina baba kwa mbali kiakili kuanzia primary mpaka vyuo vikuu!

Huyu mama hakubebwa, alikula shule Mlimani, zamani sana na kama sikosei, mumewe alikuwa akifanya kazi Ikulu wakati wa Nyerere. Ila kama unaona yeye ni MTAKATIFU sana basi hebu soma hapa na nione sasa utasema nini:

Rais wa Bunge la Afrika, Mama Getrude Mongella, anatuhumiwa kutenda makosa ya kukosa uaminifu, Wizi na utoaji ajira kinyume na taratibu za kazi yake:-

1. WIZI:- anatuhumiwa kutafuna Dola za US, 138,000 ambazo ni sawa na shillingi 180Millioni za Tanzania.

2. UAJIRI:- anatuhumiwa kuajiri ndugu zake kinyume na sheria za kazi yake, akiwemo mkwe wake, yaani mke wa mtoto wake.

Katika kikao cha AU kilichopita nchini Ghana, nchi za Afrika zilimuamuru mama huyo kurudisha hela hizo mara moja huku uchunguzi ukiwa unaendelea, kikao hicho pia kilihudhuriwa na Rais Kikwete.

Mama Mongella, anatuhumiwa kujilipa US/Dola 800, kwa siku akilifanyia kazi bunge hilo la Afrika, na huku akiwalipa US/Dola 400 kwa siku ndugu zake aliowaajiri huko AU, wakati pia akilipwa na bunge la Tanzania kwa kazi hiyo hiyo. Mkwe wake mama huyu tayari ameshaachishwa kazi na bunge hilo na wengine wako njiani kurudishwa tayari Tanzania.


From: https://www.jamiiforums.com/jamii-i...a-aghushi-na-kutafuna-mamillioni-ya-pesa.html
 
Daa, watu mna data nyie. Mwanzo nilivyosikia miaka kama sita iliyopita, nilidhani ni MAJUNGU. Kumbe hii ni kweli. Nimeamini kuwa kweli hasa baada ya kuona hii imeandikwa mara mbili na watu tofauti. Yaani alisema kabisa "nimesha-achia ngazi?" Kumbe lilikuwa swala la wazi kabisa.
....that anna abby was shared between kawawa and msekwa who took it home for himself.....here i mean another anna how fought out tatu and the like of sophia and take Mzee for himself!!!.....
Mkulu muhusika alipoamua kumuoa mshosti mwingine toka mle mle mjengoni, Tatu mwenyewe alitamka mjengoni kuwa "NIMEACHIA NGAZI"!!

Ila hii kidogo imeanza kunitisha. Yaani walikuwa wanawazunguka tu wenyewe kwa wenyewe, khaaa!!!!!!

Mramba na Mkapa walipokezana.
Kawawa na Msekwa walipokezana (hii sikuwa naifahamu).
John lenyewe lilikuwa peke yake tu. Totoz mbili na hakuna mtu anazigusa. John alikuwa na sifa zote za kuwa na Totoz na sidhani kama alitaka sana kuingia kwenye MIDUARA ya akina SS, AA, nk. alijitafutia shamba lake mwenyewe, akalilima na kulimwagilia, kulitunza vizuri na matunda yakaonekana. Ki-itikadi, mashamba hayo sasa hivi yanapigana huku moja likiwa kambi ya WAPIGANAJI na jingine liko kimya ila kimatendo tunaona kabisa kuwa liko au linafanya UFISADI (kama hii habari juu ni kweli).
 
baadhi ya wananchi wa jimbo la igalula ambao ni wanachama wa chama cha mapinduzi (ccm), wametoa malalamiko kwa mwenyekiti wa chama hicho taifa kuhusu uongozi mbaya wa mbunge wao. Jimbo la igalula linaongozwa na tatu musa ntimizi.

Katika barua yao kwenda kwa mwenyekiti wa ccm taifa, rais jakaya kikwete, wananchi hao wanasema hawataki kumwona mbunge huyo akiendelea kuliongoza jimbo hilo. Jimbo la igalula lilianzishwa rasmi mwaka 1995 baada ya kugawanywa kwa jimbo la tabora kaskazini.


baadhi ya tuhuma dhidi ya ntimizi ni kwamba amekuwa akitumia nafasi yake ya uongozi kumlazimisha mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya tabora vijijini kumpatia mwanaye musa ntimizi kazi za ukandarasi wa majengo na madaraja.


inadaiwa kuwa musa hana taaluma wala sifa za ukandarasi, isitoshe hata kampuni ya ukandarasi hana.


“kwa mfano alipewa ukandarasi kujenga zahanati katika vijiji vya imalakaseko, igalula na goweko pamoja na daraja la barabara ya kigwa hadi itundaukulu. Kibaya zaidi, baadhi ya watu aliokuwa anawapatia vibarua, hajawalipa fedha zao walizokubaliana hadi sasa,” inasema sehemu ya barua hiyo.


wadai wa mussa wametajwa kuwa ni pamoja na ashura mfaume na ashura selemani wanaodai sh 35,000, ambao walipewa kazi ya kuponda kokoto zilizotumika kujenga zahanati ya goweko. Wengine ni kajuna daudi na michael malambo wanaodai sh 84,000 kwa kazi ya kusomba mchanga na kufyatua matofali.


“shule ya sekondari goweko inadaiwa kumdai pia sh 405,000. Majengo ya zahanati za imalakaseko na goweko bado hayajakamilika kujengwa hadi sasa, ingawa tayari ameshalipwa fedha kabla ya kumaliza kazi,” inasema barua hiyo.


lakini pia, mbunge ntimizi anadaiwa kuwanyanyasa wananchi katika masuala mbalimbali ya kijamii. Kwa mfano, inadaiwa machi 25 mwaka huu, mbunge huyo alizuia basi lililokuwa limewabeba wana-ccm kuelekea goweko kwa ajili ya sherehe za kuwasimika makamanda wa uvccm wilaya ya uyui.


wananchi hao wanasema: “mbunge ntimizi, kwa kutumia madaraka yake, aliwaamuru polisi wa tabora mjini kumzuia mmiliki wa basi la nbs lililokuwa limekodiwa na ccm wilaya kuwapeleka makamanda na viongozi wa ccm kuhudhuria sherehe hizo. Gari hilo lilizuiwa tangu saa mbili asubuhi hadi saa tisa alasiri liliporuhusiwa.”


aidha, mbunge ntimizi anadaiwa kukopa sh milioni 40 kutoka mfuko wa pembejeo kwa kutumia jina la mtoto wake, saidi rashidi omari.


hata hivyo, pembejeo hazikupelekwa jimbo la igalula na hivyo kuulazimu mfuko wa pembejeo taifa kumshitaki mbunge huyo. Kesi hiyo namba na. 19 ya mwaka 2006 iko mahakama kuu ya tanzania kanda ya dar es salaam, wadaiwa ni saidi rashidi omari na tatu ntimizi mwenyewe.


inadaiwa pia kwamba mbunge ntimizi amekuwa akivitumia vyombo vya dola kwa maslahi yake ili kuwasumbua wananchi ambao wamekuwa wakitangaza nia zao za kugombea ubunge wa jimbo hilo.


baadhi ya wanachama wa ccm walioshitakiwa na ntimizi kwa mwenyekiti wa ccm mkoa, ni pamoja na hanifa tambulu, athumani rashid mfutakamba, katibu wa ccm (uchumi), suma mamloo, katibu wa ccm (w) uenezi, kapalu na mwenyekiti wa ccm (w), kazwika.


kuna madai kuwa tatu ntimizi amekuwa akitoa fedha za kiasi cha sh 2,000 kwa wajumbe wa nyumba 10, makatibu wa ccm wa matawi sh 5,000 na makatibu wa kata sh 10,000 kwa kumtumia katibu wa mbunge, johnson banda.


baadhi ya wanachama wanaomlalamikia ntimizi na namba zao za kadi za ccm katika mabano ni miraji mwalau (9999211), shami tandiko (35648), idd mlenge (1747271), said sumuni (594754), shabani mayega (35362) na joha hussein (862969). Wengine ni salima mbogo (432740), hamisi sukwa (35302), issa mtiliga (35304), zainabu hassan na hadija ramadhani (35303).

ni kweli jamani ila kwa nini kipindi chote tusiyaibue haya tukisema sisi wenyewe wachawi tutakataa kama mna data mbona msizimwage yawezekana muda mzuri lakini ukawa umechelewa anyway tusubiri nec mwisho wa nchezo...haya mambo sikunyingine kamamnajua laleni bararani iten itv mwone kama angechukua hata fomu za kugombea
 
Watu wameanza kwa kufichafucha majina weee, lakini jinsi watu wanavyochangia kila kitu kinakuwa hadharani..lol!!
 
ni kweli jamani ila kwa nini kipindi chote tusiyaibue haya tukisema sisi wenyewe wachawi tutakataa kama mna data mbona msizimwage yawezekana muda mzuri lakini ukawa umechelewa anyway tusubiri nec mwisho wa nchezo...haya mambo sikunyingine kamamnajua laleni bararani iten itv mwone kama angechukua hata fomu za kugombea

Huu ni wakati muafaka, ila sema kwamba kama wanachama hawana ushahidi wa wazi, CC na NEC wakiamua kumbeba wanaweza kufanya hivyo kwa kusingizia kwamba watafanya kwanza uchunguzi, by the time wanapata report, uchaguzi ulishapita.

Walichofanya hao wananchi ni kuwaambia CC na NEC kwamba kama 2005 mlimpitisha pamoja na kwamba hakuongoza kwenye kura za maoni, mwaka huu wasirudie maana mtu wao ana madudu ambayo wameyaeleza. Sasa kama CC na NEC watadharau hizo tuhuma, hiyo ni juu yao. Uzuri mwingine ni kwamba walioandika tuhuma wameandika majina yao na kadi zao, kwa hiyo siyo uzushi japo wanaweza kuwa wametumiwa na baadhi ya wagombea ili kuzuwia yale yaliyotokea 2005. Lakini mwaka huu sidhani kama Mkuu wa Wilaya Bwana Mfutakamba wamnyima tena kugombea.
 
WAZIRI MKUU ALIEMUOA ANNA.....
YOU MEAN KAWAWA SIO??????NA ANNA NI ANNA ABDALLAH SIO?????

AMBAE LATER ALIOLEWA NA MSEKWA SIO??????

HAHA HA NILIWAHI ULIZA HAPA HII CCM FAMILLY TREE IKOJE???????
SIKUJIBIWA.....

Sasa umejibiwa?
Kwani katika mapambano mtu anadhibitiwa kutumia silaha zote alizonazo? Silaha nzuri kwa leo sio lazima iwe nzuri na kesho ati! SOmetimes try to be opportunistic and you will see a happier tomorrow. Umesema vema mkuu, vitu vizuri huwajia wenye subira.
 
Kwa hilo la kumlazimisha mkurugenzi kutoa tenda kwa mwanae nafikiri halina ukweli kwani mkurugenzi sio mwenye mamlaka ya kutoa tenda katika halmashauri, na endapo mtu yeyote atathibitisha kuwa mkurugenzi yeyote ametoa tenda au ameshinikiza mtu apendelewe katika upatikanaji wa mshindi na sio tenda bodi basi haraka sana awajulishe wahusika ambao ni PPRA au PPAA nakuhakikishia mchakato utafutwa maana hao jamaa hawana mchezo na issue kama hizo.Pili sijaelewa sababu za hawa jaamaa kumlalamikia huyu TATU si ametoswa safari hii kwenye kura za maoni? nafikiri hata hao CCM wa miaka hii hawawezi kufanya kosa kwa kumrudisha huyu mama labda itumike ile kanuni ya ''huyu ni mwenzetu''
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom