Umeya wa Jiji na Manispaa zake-Dar es Salaam

Dotori

JF-Expert Member
Nov 3, 2007
544
24
Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi imekaa leo kujadili majina ya wagombea wa nafasi za umeya wa Jiji na Manispaa za Ilala, Temeke na Kinondoni.
Kuna mtu ana taarifa ya majina yaliyopitishwa?
 
Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi imekaa leo kujadili majina ya wagombea wa nafasi za umeya wa Jiji na Manispaa za Ilala, Temeke na Kinondoni.
Kuna mtu ana taarifa ya majina yaliyopitishwa?

Mambo ya CCM kamwulize Makamba.
 
Muda wa jioni hivi nilimwona Malaria Sugu akipitapita na Makaratasi yenye majina.

Mpigie namba zake ni 0713 .. .. ..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom