Elections 2010 Umeya Mwanza ngoma Nzito Chadema na CCM kikao chavunjika.

Kenge (Eng)

JF-Expert Member
Dec 7, 2006
543
156
Source:- RADIO 1 STEREO.

"Kikao cha kumpata MEYA wa jiji la Mwanza leo kimevunjika baada ya kutokea mvutano mkali baina ya madiwani wa CCM na Chadema ukumbini"

Kazi ya uchakachuaji haijaisha.
 
mkutano ulivunjika.... uchaguzi sijui utafanyika lini, CCM walitaka kura zipigwe kwenye vyumba mmoja mmoja kwa siri Chadema wakakataa, kwanini sisipigwe palepale wote wakiwepo kama walivyofanya bungeni
 
inanipa shida kuelewa,hawa ccm wanataka nini maana wananchi wamewakataa lakini bado wanang'ang'ania tu, wakumbuke hii nchi ni yetu sote wasidhani ni yao na vizazi vyao. wakurugenzi wa aina ya wilson kabwe,fuime na wa arusha waelewe hiyo kazi waliyonao ni dhamana isiyo na uhakika, wao hawana ubora hata robo wa tido mhando, wamemfanyia hila mhando itakuwa wenyewe.wao kuwaondoa ni sawa na upepo unavyopeperusha vipande vya karatasi. kabwe na wenzake wamepoteza heshima mbele ya jamii nadhani hata familia zao zinawashangaa.
 
Tatizo ni nini hivi CCM wana uelewa mdogo kwa kiwango hiki, mbona wanatulazimisha wananchi tufanye vurugu ambazo si za lazima, Hivi ICC ili mtu apelekwe na mpaka watu wafe, kwanini wasipelekwe kama wanatengeneza mazingira ya watu kuuwana.

Hawa CCM inabidi tuwashtaki kabla.
 
Muheshimiwa OCAMPO upo wapi usisubiri watu wauane ndo uje angalia hata dalili hizi zinazosababishwa na SISI M!!!!!!!!!!!
 
mkutano ulivunjika.... uchaguzi sijui utafanyika lini, CCM walitaka kura zipigwe kwenye vyumba mmoja mmoja kwa siri Chadema wakakataa, kwanini sisipigwe palepale wote wakiwepo kama walivyofanya bungeni
Na utaratibu unasemaje mkuu?
 
Back
Top Bottom