Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,735
- 239,356
Wakuu natanguliza salamu,
Baada ya salamu natoa taarifa kwamba kesho kwa mara ya kwanza tangu Mungu aumbe mbingu na ardhi , Dar es salaam ( ILALA na KINONDONI ) itabahatika kupata Mameya wanaotokana na wapenda mabadiliko ya kweli.
Hii ni baada ya Mkuu wa Mkoa huo Meck Sadiki kutangaza rasmi kwamba maandilizi ya uchaguzi huo utakaopigwa kesho yamekamilika .
Iko wazi kwamba idadi ya madiwani wanaowakilisha UKAWA inaiacha kwa mbali sana ile ya chama kikongwe CCM, hivyo bila kumung'unya maneno na hasa baada ya ile marufuku ya waziri Simbachawene kutimua mamluki kutoka kisiwandui UKAWA ni washindi .
Wito wangu kwa wanaccm ni kwamba wavumilie na wajiandae kisaikolojia, maisha ndivyo yalivyo.
Kila la heri UKAWA.
MATOKEO
manispaa ya kinondoni
UKAWA 38
CCM 20
manispaa ya ilala
UKAWA 31
CCM 0
Matokeo haya ni kwa mameya na manaibu wao
Asanteni sana kwa kunisikiliza na Mungu awabariki .

Last edited by a moderator: