Umewahi kuweka akiba kwenye kibubu

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
8,413
12,328
Kila nikijaribu huwa nashindwa
Navunja
Nimejitahidi hiki cha sasa kina miezi mitatu na niliweka nia niweke kwa miaka miwili elfu 5 kwa siku.
Sasa kila nikiingia ndani roho flani inaniambia kumbuka una kibubu.
Kama uliwahi Fanya hii kitu uliwezaje kufikia lengo bila kukivunja.
 
Niliweka nikatoa million 1.35....
 
Kila nikijaribu huwa nashindwa
Navunja
Nimejitahidi hiki cha sasa kina miezi mitatu na niliweka nia niweke kwa miaka miwili elfu 5 kwa siku.
Sasa kila nikiingia ndani roho flani inaniambia kumbuka una kibubu.
Kama uliwahi Fanya hii kitu uliwezaje kufikia lengo bila kukivunja.
Usitumie kibubu unaathiriwa na inflation.
Tumia saving account kama BONUS ACCOUNT ya NMB.

#YNWA
 
Mkuu kuweka kibubu ndani ni sawa na kuishi na mwanamke mrembo kitanda kimoja bila kumgusa,,,,ni ngumu mno mkuu,,
 
Nitajaribu ila makato
Banks zina 3 types of accounts
1. Current accounts
Huwa na makato.
Hazina interest yoyote.

2. Saving accounts.
Hazina makato
zina interest kwa kipindi Fulani.

3. Investment accounts.
Kama fixed na flex accounts.
Zina return for your investment
Hazina makato.

#YNWA
 
Banks zina 3 types of accounts
1. Current accounts
Huwa na makato.
Hazina interest yoyote.

2. Saving accounts.
Hazina makato
zina interest kwa kipindi Fulani.

3. Investment accounts.
Kama fixed na flex accounts.
Zina return for your investment
Hazina makato.

#YNWA
Oky
 
Uliwezaje
Kila siku ilikua lazima niweke kiwango chochote ndani y kibubu,,,ila niliboresha ulinzi wa chumba,,,,na kibubu kilikua cha chuma so ili ukivunje lazima uende kwa fund welding ila hakikisha kisivushe miezi minne-sita ukikivunja pesa unaweka benk on fixed account unaanza upya tena.
 
Sitasahau nilikuwa naweka za 1k,2k,5k na 10k kwenye kibubu akaja dogo toka school likizo kukaa kwangu akakiona akawa ananichora tu.​

Siku wamefungua dogo akaenda sokoni akakinunua kibubu kinafanana kinoma akabeba chenye hela akaniacha kitupu,​

Sikugundua mapema Kama kimebadilishwa nikaendelea kutupia noti huku nakadiria kuwa kitakuwa na 500k.​

Siku moja nikakishika nikasema mbona kibubu hakiwi kizito na ni miezi mitano.​

Nikakivunja we nilikuta kuna 52k.​

Ilibidi nicheke kwanza nikajua chuma ulete kuja kukiangalia vizuri kumbe kilibadilishwa daah we dogo sitakusahau aisee.​
 
Sitasahau nilikuwa naweka za 1k,2k,5k na 10k kwenye kibubu akaja dogo toka school likizo kukaa kwangu akakiona akawa ananichora tu.​
Siku wamefungua dogo akaenda sokoni akakinunua kibubu kinafanana kinoma akabeba chenye hela akaniacha kitupu,​
Sikugundua mapema Kama kimebadilishwa nikaendelea kutupia noti huku nakadiria kuwa kitakuwa na 500k.​
Siku moja nikakishika nikasema mbona kibubu hakiwi kizito na ni miezi mitano.​
Nikakivunja we nilikuta kuna 52k.​
Ilibidi Michele kwanza nikajua chuma ulete kuja kukiangalia vizuri kumbe kilibadilishwa daah we dogo sitakusahau aisee.​
.
Dogo mkuda sana.
 
Back
Top Bottom