Umewahi kuunguza chakula ukipendacho kikashindwa kulika?

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,191
4,103
Natumai hamjambo wapishi,

Bahati mbaya kwenye mapishi ipo unajikuta umeunguza msosi, mimi ilishawahi nitokea kuunguza nyama mpaka tukaimwaga maana ilikua chungu.

Nikachezea fimbo za kitosha kutoka kwa mama maana nilikua nyumbani bado na nikalishwa ugali mkavu.

Nikajifunza kutenga muda kwa kupika tu na kuahirisha mambo mengine au kua makini sana ninapopika huku nafanya jambo jingine.

Wewe je ilishakutokea? Hebu tueleze ilikuaje.

 
Daaah unanikumbushaa nilinunua mwenyewe kuku wangu wa kienyeji nikakpike supu daaah game hizi daaaah nilimchinja vizuri nikamuandaa vizuri shidaa baada ya kukaa jikoni na kuenda kucheza fifa nilimkuta kuku wangu kama mkaaaa mpka mfupa unavunjika action nje nilikuta watu wamejaa kibaoo wakijua nyumba inaunguaa

Kuku iliniuma nilikosa supuuu kengine jwenye fifa yenyewe nilifungwa tuu siku hio yani nuksi nuksi nimeeenda kula mama nijazie nako nikapata zawadi yakuendesha bolt mpaka uberr
 
Pale unapoitwa mbele ya "KAMATI YA MAADILI" kujitetea kwanini mama alipokuambia uangalie chakula kisiungue jikoni, halafu ukaendekeza michezo.
20200505_093602.jpg

Ndio utakapo tamani mungu ashushe "KIAMA" siku hio.
 
daaah unanikumbushaa nilinunua mwenyewe kuku wangu wa kienyeji nikakpike supu daaah game hizi daaaah nilimchinja vizuri nikamuandaa vizuri shidaa baada ya kukaa jikoni na kuenda kucheza fifa nilimkuta kuku wangu kama mkaaaa mpka mfupa unavunjika action nje nilikuta watu wamejaa kibaoo wakijua nyumba inaunguaa kuku iliniuma nilikosa supuuu kengine jwenye fifa yenyewe nilifungwa tuu siku hio yani nuksi nuksi nimeeenda kula mama nijazie nako nikapata zawadi yakuendesha bolt mpaka uberr
Pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom