Umewahi kutapeliwa?

God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,790
3,020
Hii nchi ina matapeli bwana na wengi wao wanaishi maisha ya raha sana yani bila waswasi wowote.
Chakushangaza wengi wao wanajulikana na wanajichanganya mno ila naamini siku zao ni arobaini tuu.

Kuna kitu kimejificha hapa hawawezi kuwa na kiburi namna hii ndo maana hata sehemu husika hawatoi ushirikiano na ukiwafata kila siku utapigwa kalenda tuu na ukipanga shambulio la kumuadhibu tapeli unaumia mwenyewe au kufa kabisa.

Ngoja nivute pumzi kwanza ndugu yangu huku nikisubiri kuwaona wale waliokutwa namaswaibu ya kutapeliwa.
Nitaleta updates hapa namna huu mchezo unavyokua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom