Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

I wish!Nimetolewa baruti....i'm on the run!Na hiyo namba siitaki..yani niwe no.19 kati ya 19?Ntaleta yangu nijiweke juu kama mawingu!

Hahahahahahaha LOL! :wink2: naona umeisusa # 16
 
Hahahahaha!Haya muulizaji umeshajua pakupeleka mahari!!
Hahahaaa...
Raha sana...najua akina baba wengi hawafurahii habari za kuolewa mabinti zao..Wanaanza kwa kuwa wakali sana...
Simlaumu Reverend.
Mchungaji utaniona si muda mrefu kwenye hekalu lako tukufu.
 
Hahahaaa...
Raha sana...najua akina baba wengi hawafurahii habari za kuolewa mabinti zao..Wanaanza kwa kuwa wakali sana...
Simlaumu Reverend.
Mchungaji utaniona si muda mrefu kwenye hekalu lako tukufu.

Unaweza tanguliza kishika uchumba, kishika mimba hakikubaliki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom