Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

Kuna sehemu ya post ambayo mara nyingi huwa siisomi, nayo ni signature ya mwandishi. Leo nimekutana na post moja iliyokuwa inarekebisha signature ya mwana JF mwingine nikaamua kupitia signature mbalimbali, nyingine zinavunja mbavu kweli. Nimeamua kuzivuta zile nilizoweza kupata na kuziweka hapa:
Unataka kufungua Kitabu cha signature mkuu!?
 
Nyanzala wangu nakupenda

hii signature nilipoiona kwa mara ya kwanza nilitafakari sana,nikatamani mie ndie ningekua huyo 'nyanzala'.
kama nyanzala anaperuzi jf na kuiona atakua ni mwenye furaha.
 
Good compilation

Na yangu mkuu...

Unataka kufungua Kitabu cha signature mkuu!?

Zinaburidisha, Zinafikirisha na nyingine zinachekesha

Nyanzala wangu nakupenda

hii signature nilipoiona kwa mara ya kwanza nilitafakari sana,nikatamani mie ndie ningekua huyo 'nyanzala'.
kama nyanzala anaperuzi jf na kuiona atakua ni mwenye furaha.


Ninyi nyote hapo juu, ninekwishaorodhesha signecha zenu.

Halafu Cheusimangala, je unafanana na avatar yako dadangu?
 
Naona anataka kuanza kukusanya na Avatar ili akauze e-bay ...... ..
 
signature yangu nimeandika kwa kutoa machungu yaliyopo moyoni mwangu.....RUSHWA ni kilio cha wengi kwani kinagusa mtu mmoja mmoja na maisha ya kila siku....!
POLISI....MAHAKAMANI...HOSPITALI......TANESCO.....DAWASCO....TRA........MANISPAA(JIJI).....ARDHI.....AJIRA......USAFIRI....CHEO....SHULE(VYUONI).....e.tc...e.t.c...e.t.c...n.k...n.k....n.k
 
.Asprin--Baba hachaguliwi...........:lol::lol:Mama hapigiwi kura......watoto siri ya mama..:israel:
.Chapakazi--
Change begins with YOU :cool:

. Invisible--
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!

. Preta- -
Life is too short to waste time hating anyone.........

.Maxence Melo--
Sharing is Caring

.Rev Masanilo-- --
Kindness is the language which the deaf can hear and the blind can see - Mark Twain

.Maria Roza--
Thank God for what you have. Trust God for what you need.

.Bacha--
FORGIVENESS does not change the past, but it does enlarge the future

.Boflo--
Hurt me with the TRUTH...But don't comfort me with a LIE!

.Dark City--
"WE ALWAYS DON'T CHANGE UNTIL THE COST OF STAYING THE SAME EXCEEDS THE COST OF CHANGE....LOOKING BEYOND THE 31 OKTOBA 2010 LANDMARK"

. FirstLady1--[FONT=georgia, bookman old style, palatino linotype, book antiqua, palatino, trebuchet ms, helvetica, garamond, sans-serif, arial, verdana, avante garde, century gothic, comic sans ms, times, times new roman, serif]Cheers to a new year and another chance for us to get it right

. Kimey--
[/FONT]I may be walking slowly, But I never walk backwards! and Whenever I walk backwards,Its for a long jump!!

. Wise Lady-
The beauty of GOD is beyond description:lol:

.Babu ataka kusema--~*~Life is Good~*~
~*~Take pride of your achievements, but be modest~*~

.NewDawnTZ- -
Courage is the fear that has said its last prayer :painkiller:

. Lizzy Masa - -
You might not be perfect TO me.........but you are perfect FOR me!


Maneno mapya kwenye dictionary

The Finest-- "Floccinaucinihilipilification"

MwanajamiiOne--
Manenei, Manenei..........aaah


Nyote mnakaribishwa kuongeze Signature zinazowavutia ..
Hii itaonyesha kwamba tuna appreciate wanachokiweka hapa..
AD.


THERE IS NO PARTICULAR ORDER

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom