Umewahi kusikia simulizi ya nyoka kupaishwa kwenda angani kutokea baharini?

Kuna joka lingine hua linapita milimani bonge la joka kama mlima hivi mlisha liona? ila hua hayadhuru
Hili nimeshaliona, Kuna mahali Nyumba yetu tuliyokuwa tunaishi ilikuwa juu Mlimani, kuna siku Bonge la joka lilipita na Moto likapotelea Mlimani.Siku nyingine nilipanda Mlimani peke yangu nilikutana na Bonge la Joka, ila nilisepa bila lenyewe kuniona.
 
Hii sijawahi kuisikia ila Niliwahi kusimuliwa na bibi yangu kuwa mvu kubwa zinyeshapo na mafuriko kutokea basi jua majoka makubwa hutoka milimani na kusafiri katika mafuriko kuelekea baharini.
Hii in sawa. Shule niliyosoma Mburahati primary school ilikuwa na hilo joka lenyewe lilikuwa source of water....madarasa ya upande Fulani yalikuwa yanatitia kwasababu ya maji. Yale maji yalikuwa yanatirirka mwaka mzima mpaka mvua za miaka ya 2000s ndo likatoka na maji yakakata.
 
800px-Trombe.jpg
 
Hicho kitu nimeona mara mbili na wakati nyoka anashuka anaweza chukua hata masaa 3 nawingu yanakua meusi tii kama kwenye picha ya Kungfu hustle, mwishoni hukunja ule mnyororo unamwachia yy anadondoka majini. This is True nimeona mara mbili nkiwa na wazazi + wadogo zangu Kigoma kusini
Duniani kuna mambo kumbe! We ukiona kama kitu cha kawaida au kushangaza?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom