Umewahi kusafiri masaa mangapi na ndege

Wanasema eti asilimia 2 tu ya watu wote duniani ndiyo wame/wanatumia usafiri wa ndege", hili tangazo nililisoma pale JKNIA,, nikiwa nimekaa vile viti vya pale nje..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
11 hours!!1. From dar to Ethiopia 3 hours
2.Ethiopia to shanghai 11 hours,direct flight via Dubai


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nilisafiri Kwa saa 12 kutoka Johannesburg South Africa hadi Sydney Australia. Hakika ilikuwa amazing kwani tuliondoka saa 4 usiku na kuwasili saa 12 jioni kwa za Australia!
Jo'burg-Sydney, hiyo route si chini ya masaa 15 jombaa
 
Dar,Amsterdam,New York,Houston Texas makalio yote yanakufa ganzi,ingine Bongo,Bole Ethiopia,Bangkok,Ghuanzou ,ukifika masaa yanakuchanganya,hujui umeondoka lini,Marekani majimbo mengi yana muda wake,wakati wa majira kama haya saa kumi jioni tayari usiku na wakati wa kiangazi saa mbili usiku bado jioni na jua juu.Ama kweli tembea uone na ujifunze,
 
Back
Top Bottom