Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 37,165
- 85,182
Mh mjumbe.....Mh mjumbe kuchutama ni busara zaidi katika utekelezaji wa majukumu yako
Leo nimelazimika kuchutama kwenye hadharani...
Mh mjumbe.....Mh mjumbe kuchutama ni busara zaidi katika utekelezaji wa majukumu yako
Mh mjumbe.....
Leo nimelazimika kuchutama kwenye hadharani...
Dar to Heathrow ( UK),kwa British airways zaidi ya Massa nane nilipasua anga acha kabisa sitasahauUmewahi kuonja raha ya kusafiri na Ndege Kwa masaa mangapi hewani.toa ushuhuda
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana brake zilikuwa zinanasa sana
😂😂😂 Ndege hiyo balaa inakutoa Africa inakupeleka Asia kisha inakupeleka ulaya kisha Australia duh! kwenye mabasi kuna kamsemo chetu cha kufaulishwa na kwenye ndege kapo?😂😂😂Dar-Doha-Singapore- Sydney- New Zealand..Dah masaa kama yote
Umewahi kuonja raha ya kusafiri na Ndege Kwa masaa mangapi hewani.toa ushuhuda
Sent using Jamii Forums mobile app
Jumatatu lazima nipande hili dege la ardhiniMasaa 12, Dar - Mwanza na Ally's sports aka Tanzania leader.. HII NI NDEGE YA CHINI...