kamarah1320
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 294
- 296
usehesabu na masaa ya trasit mkuuNilisafiri Kwa saa 12 kutoka Johannesburg South Africa hadi Sydney Australia. Hakika ilikuwa amazing kwani tuliondoka saa 4 usiku na kuwasili saa 12 jioni kwa za Australia!
Sent using Jamii Forums mobile app