Umewahi kusafiri masaa mangapi na ndege

Nilisafiri Kwa saa 12 kutoka Johannesburg South Africa hadi Sydney Australia. Hakika ilikuwa amazing kwani tuliondoka saa 4 usiku na kuwasili saa 12 jioni kwa za Australia!
Duh hii inanikumbusha nilitoka doha qatar mpaka perth australia. Militumia masaa 11. Hapo no baada ya kutumia masaa 6 kukoka dar mpaka doha qatar. Amazing sana mkuu hii safari. Wew utakuwa ulitumia south africa airways

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusafiri masafa marefu hayana raha bali ni karaha na mchoko
Safari yangu ndefu ilikuwa kutoka JED to DMK ilikuwa masaa 11 angani siwezi kuisahau hiyo safari maana unaangalia movie unalala unaamka unakula unalala ni tafrani tupu
Siku hizi ni lazima nipumzike sehemu nikiwa nasafiri hata kama kulala siku moja mji mwingine bora

Sent from my SM using Tapatalk
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom